Kilimo cha Nyonyo (Castor Oil): Ushauri na Masoko.

Picha tafadhal
Picha kwa hisani ya Google.
images-2.jpg
images-1.jpg
 
Bongo hizi nyonyo huwa zinajiotea makorongoni au maporini kumbe deal aisee ,Sasa hawa wataalam wetu mbona ka wamepotezea fursa hii kuitangaza wananchi wakajipataia kipato! Mpwapwa zinakubali zana hizi kitu mkuu
 
Habarini za mchana wanaJF, naomba msaada wa hiki kilimo. Nahitaji kufahamu ni wap kinastawi vizur kwa Tanzania, ulimaji wake, dawa, mbolea, mavuno etc.

Natanguliza shukrani.
Pia ingia Google utapata details zote,kinastawi mazingira yeyote zaidi kwenye joto, pia sehemu kame,na zisizo na rutuba.soko labda uexport kwenye viwanda vya madawa nje.
 
Bongo hizi nyonyo huwa zinajiotea makorongoni au maporini kumbe deal aisee ,Sasa hawa wataalam wetu mbona ka wamepotezea fursa hii kuitangaza wananchi wakajipataia kipato! Mpwapwa zinakubali zana hizi kitu mkuu
Zinazalisha mafuta kwa ajili ya vipodozi,Urembo,sabuni,mafuta ya kuwashia taa,Magari nk
 
Mkuu TIBIM nimekusoma asante ,nilichokua nakijua enzi zetu huko Mpwapwa kipindi cha baridi miguu ilikua ikipasuka kwa kiswahi kizuri machacha tulikua tunaponda nyonyo na kupaka ,au tunaambiwa zinatengeneza mafuta ya ndege ahahaha
 
Bongo hizi nyonyo huwa zinajiotea makorongoni au maporini kumbe deal aisee ,Sasa hawa wataalam wetu mbona ka wamepotezea fursa hii kuitangaza wananchi wakajipataia kipato! Mpwapwa zinakubali zana hizi kitu mkuu
Nashukuru sana mkuu kwa hii helpful comment. Naomba kuuliza pia, inachukua mda gani kutoka uotaji wake mpk uvunaji?
 
Mkuu TIBIM nimekusoma asante ,nilichokua nakijua enzi zetu huko Mpwapwa kipindi cha baridi miguu ilikua ikipasuka kwa kiswahi kizuri machacha tulikua tunaponda nyonyo na kupaka ,au tunaambiwa zinatengeneza mafuta ya ndege ahahaha
Mkuu we uliishi mpwapwa miaka ipi ?
 
Nahitaji Mbegu za Castor Oil.Kuna Shamba liko Idle kile Kilimanjaro na Nzega na Hali ya hewa inafaa maana Mvua haizidi 700mm Kwa Mwaka na Ardhi ya Kichanga.
 
Hiii bongo hatulimi hiii Ardhi yetu haikubal kabisa
Mkuu sio kweli huku kwetu yanajiotea kwa wingi mno sehemu yenye miti ya miembe pale penye rutuba haswa.

Sema hutujui namna ya kuyachakata tu..usukumani yanaitwa makale ga (ya) mbono. uliza
 
Habarini za mchana wanaJF, naomba msaada wa hiki kilimo. Nahitaji kufahamu ni wap kinastawi vizur kwa Tanzania, ulimaji wake, dawa, mbolea, mavuno etc.

Natanguliza shukrani.
Nyonyo wanazo wadada wa mikoa flani. Unakuta manyonyo kama yoooote
 
Back
Top Bottom