Druggist
JF-Expert Member
- Nov 10, 2010
- 439
- 528
Usijali Mkuu,nimepata Kule Kilimanjaro na bei Yao ni Elfu 2 Kwa Kilo.Nimeshaagiza waniletee Kwa basi hadi Dar kisha yatapandwa Mwezi Februari Nzega na Geita Kwa Majaribio na Pia kule Kibiti Pwani.Baada ya Miezi 3 Nitakuwa na Mbegu za Kutosha na Mafuta Tele Kwa biashara zangu.Ahsante Sana Kwa kujali.