Kilimo cha Nyonyo (Castor Oil): Ushauri na Masoko.

Usijali Mkuu,nimepata Kule Kilimanjaro na bei Yao ni Elfu 2 Kwa Kilo.Nimeshaagiza waniletee Kwa basi hadi Dar kisha yatapandwa Mwezi Februari Nzega na Geita Kwa Majaribio na Pia kule Kibiti Pwani.Baada ya Miezi 3 Nitakuwa na Mbegu za Kutosha na Mafuta Tele Kwa biashara zangu.Ahsante Sana Kwa kujali.
 
Sawa ukifika geita nicheki tafadhari nahitaji kujifunza zaidi. Nipo geita haina haja ya majaribio yanastawi na kuzaa
 
Haya Wandugu,shehena ya Mbegu umefika toka Same-Kilimanjaro Kwa wakwe zangu.Sasa ni Safari ya Kupanda Pwani,Nzega na Katoro-Geita.Panapo majaliwa Ifikapo June Mbegu za kutosha
 

Attachments

  • IMG_20250112_135950.jpg
    1 MB · Views: 4
Una machine ya kukamua mafuta yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…