Kilimo cha parachichi ni njia rahisi ya kuufikia utajiri mkubwa

Dah m ningekua karibu na huko mkuu ningekubali kua kibarua wako

Level of education does not matter for me
 
True wote wako kwa rikiboy
 
Katika vitu ambavyo amuongelei ni critical managerial practices to reach maximum production nimetembea na kuwaonea huruma baadhi ya wakulima uko njombe na mbeya Miti ya parachichi unakuta umedumaa zaidi ya miaka minne hadi mitano hakuna dalili hata ya kuweka Maua, Miti kuendelea kukauka Kwa taratibu, huduma ya umwagiliaji kuwa hafifu sana maana parachichi inaitaji maji ya kutosha iweze kutoa mavuno Kwa misimu miwili angalau, changamoto ya kupukutika Kwa Maua na mkulima kuambulia trey 1 tu kwenye mti mzima . Jaribuni kuonyesha solution za hizo challenge Ili mtu ambaye sio expert on that field ajue the way forward before engage in avocado industry.Asante
 
Tatizo wahamasishaji wengi wa hivyo vilimo pendwa wanakuja huku vijijini kutapeli tu wamama na wababu wa huku vijijini

Tunaoenda sana kupata chochote kupitia hivyo vilimo tatzo wahamasishaji, mnatuangusha sanaa
 
Uhalisia wa mambo unafichwa sana na jambo la kushanganza wanakodi majengo ya ghalama mjini kama ofisi ila awataki kuwekeza hata shamba la Heka 5 tu huko vijijin.
 
From morogoro Ila nimekuja kuwekeza njombe.nimelima parachichi hass na adi sasa natimiza miezi 6 tangu nipande hii miti kalibuni wazee na vijana wenzangu
 
Newala au Kilindi? TREE OF LIFE FOUNDATION wakujibu
 
Story yako na yangu haitofautiani sana sema wengi hatupendi tu kuandika thread humu...kejeli na dharau nyingi..ngoja tubaki silent
 
Tatizo makete ardh ghali
 
Mkuu samahan naomba kujua mmea wa ngano ni kama mpunga unapanda na kuvuna ndani ya muda mfupi au ni mmea wa kudumu
 
tatizo soko mkuu....niko morogoro wilaya ya mvomero.. nina shamba la parachichi.. kwa huku shambani tunauza sh. 50 kwa parachichi moja

kama huto jali kaka nipe connection ya soko nilete mzigo wangu mkuu

nitashukuru sana

0655 944268
Mkuu tunashauriwa mazao kama haya kuyaendea na kwenda kulima maeneo yake maarufu yanapolimwa kwa wingi ili kurahisisha masoko kwa maana hata madalali husika ni rahisi kukufikia hata ukiwa wa mwisho mwisho kuuza lakini utauza....mfano rahisi hapo morogoro ukilima mkonge ni rahisi kupata soko kwa sababu ndio maeneo yake na watu wengi wamelima.
 
Ulipanda mbegu gani hiyo tukupe mwongozo?
 
Motivational speaker tu huyu hana mbele wala nyuma. Mi nipo Tukuyu, we unalima TUKUYU sehemu gani?

Kilimo ni fursa kweli, but noti in such extent ya kwenda na IT toka Dar to Mbeya na Njombe kwa ajili ya Kilimo. Nilivyoanza, hakuna Kilimo cha namna hii na utakuwa umepigwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…