Marire JF-Expert Member Joined May 1, 2012 Posts 12,333 Reaction score 5,292 Dec 13, 2013 #1 salaam sana wakuu. niko moshi machame nataka nijue kama kwa hali ya hewa ya huku hayo mazao ya pareto kama yatastawi na soko lake likoje na je kama hilo zao lina athari zozote kwa aridhi.
salaam sana wakuu. niko moshi machame nataka nijue kama kwa hali ya hewa ya huku hayo mazao ya pareto kama yatastawi na soko lake likoje na je kama hilo zao lina athari zozote kwa aridhi.
Marire JF-Expert Member Joined May 1, 2012 Posts 12,333 Reaction score 5,292 Dec 14, 2013 Thread starter #2 Hili jukwaa hakuna majibu naomba mods wanipeleke jukwaa husika