Kilimo cha pareto

Kilimo cha pareto

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
12,333
Reaction score
5,292
salaam sana wakuu.
niko moshi machame nataka nijue kama kwa hali ya hewa ya huku hayo mazao ya pareto kama yatastawi na soko lake likoje na je kama hilo zao lina athari zozote kwa aridhi.
 
Hili jukwaa hakuna majibu naomba mods wanipeleke jukwaa husika
 
Back
Top Bottom