hauleibrahim
Senior Member
- May 17, 2024
- 183
- 125
Naomba mtaalam wa kilimo Cha pesheni anae fahamu vitu vifuatavyo.
Anaejua mbegu nzuri na bora sokoni?
Anaejua vipimo Vya kilimo Kwa mche na mche
Anaejua muda wa kukomaa tunda hilo na njia za uvunaji mzuri na wenye tija shambani.
Kiufupi nataka nisaidiwe elimu yote Kwa ufasaha kuanzia abc mpka z.
Kama wew ni mtaalamu wa tunda hilo ulimaji wa kitaalam Karibu unipe elimu Kwa maandishi na picha itapendeza Kuna vitu nahitaji kujifunza Kwa kuona uandaaji wa Shamba hasa Miche shambani mpka uvunaji wake
0625537380 Kwa maelezo ya picha Whatsapp au voice note
Kwa yeyote mwenye utaalam wa kisasa anakaribishwa hapa.