Kilimo cha pasheni

Kilimo cha pasheni

hauleibrahim

Senior Member
Joined
May 17, 2024
Posts
183
Reaction score
125
Naomba mtaalam wa kilimo Cha pesheni anae fahamu vitu vifuatavyo.

Anaejua mbegu nzuri na bora sokoni?

Anaejua vipimo Vya kilimo Kwa mche na mche

Anaejua muda wa kukomaa tunda hilo na njia za uvunaji mzuri na wenye tija shambani.

Kiufupi nataka nisaidiwe elimu yote Kwa ufasaha kuanzia abc mpka z.

Kama wew ni mtaalamu wa tunda hilo ulimaji wa kitaalam Karibu unipe elimu Kwa maandishi na picha itapendeza Kuna vitu nahitaji kujifunza Kwa kuona uandaaji wa Shamba hasa Miche shambani mpka uvunaji wake

0625537380 Kwa maelezo ya picha Whatsapp au voice note

Kwa yeyote mwenye utaalam wa kisasa anakaribishwa hapa.
 
Kuna aina mbili ya Passion ambazo zinapatikana masokoni kwa upande wa Tanzania ambazo ni Yellow na Purple
Yellow passion inasifa zifuatazo
Aisumbuliwi na Magonjwa ya tokanayo na udongo kama vile fungus
Life soani yake ni kubwa
Matunda yake ni makubwa
Kiwango cha acid/ uchachu ni kikubwa
Inafanya vizuri ukanda wa chini Hadi wenye mwinuko wa wastani

Purple Passion
Inasumbuliwa sana na Magonjwa ya udongo
Inafanya vizuri ukanda wa juu
Life span yake ni ndogo
Matunda yake ni madogo
Yana flavor nzuri

Chanzo Cha mbegu
Unaweza nunua passion fruit kutoka sokoni au kuokota chini ya mti baada ya apo unatoa izo mbegu na kupanda kwenye Viriba kwenye Kila kiriba unaweza panda mbegu mbili hadi tatu

Umbali wa kupanda
Mti hadi mti 2m
Mstali hadi mstali 2m

Supporter
Kwa sababu passion fruit aiwezi kusimama yenyewe kama yenyewe ivyo inabid utumie miti ili kuifanya isimame kwenda juu
 
Naomba mtaalam wa kilimo Cha pesheni anae fahamu vitu vifuatavyo.

Anaejua mbegu nzuri na bora sokoni?

Anaejua vipimo Vya kilimo Kwa mche na mche

Anaejua muda wa kukomaa tunda hilo na njia za uvunaji mzuri na wenye tija shambani.

Kiufupi nataka nisaidiwe elimu yote Kwa ufasaha kuanzia abc mpka z.

Kama wew ni mtaalamu wa tunda hilo ulimaji wa kitaalam Karibu unipe elimu Kwa maandishi na picha itapendeza Kuna vitu nahitaji kujifunza Kwa kuona uandaaji wa Shamba hasa Miche shambani mpka uvunaji wake

0625537380 Kwa maelezo ya picha Whatsapp au voice note

Kwa yeyote mwenye utaalam wa kisasa anakaribishwa hapa.
Huvunwa baada ya miezi 4 toka kupandwa
 
Back
Top Bottom