hauleibrahim
Senior Member
- May 17, 2024
- 183
- 125
Mbegu nzuri ni zile nyeusi wengine huita zambarau ndo zinasoko. sijawahi kulima nina mashina kama matatu tu hayajaanza kuzaa badoAnaejua mbegu nzuri na bora sokoni?
Upandapo hakikisha unaweka mbolea ya samadi kina futi2 na mapana fut1 na unusu au mbili piaKiufupi nataka nisaidiwe elimu yote Kwa ufasaha kuanzia abc mpka z.
kwetu kizuri kilikuwa cha mpassion na muembe kwa wanawake sikuwahi ona labda kama ni shamba kubwaUsilime karibu na makazi
Inaleta nyoka sana pashen
OkUsilime karibu na makazi
Inaleta nyoka sana
Si tulikua nayo kwenye fensi aisee mijoka kama yotekwetu kizuri kilikuwa cha mpassion na muembe kwa wanawake sikuwahi ona labda kama ni shamba kubwa
Huenda inategemea na mazingira. Siwezi kataa maana Huwa inasokotona sana na kutengeneza kivuli(maficho)Si tulikua nayo kwenye fensi aisee mijoka kama yote
Noma sana mijoka kama yote 😂🤣 mlikuwa nayo mingapi?Si tulikua nayo kwenye fensi aisee mijoka kama yote
Hamkuwahi kuwa na njia za kuzuia nyokaSi tulikua nayo kwenye fensi aisee mijoka kama yote
Kama ipi?Hamkuwahi kuwa na njia za kuzuia nyoka
Huvunwa baada ya miezi 4 toka kupandwaNaomba mtaalam wa kilimo Cha pesheni anae fahamu vitu vifuatavyo.
Anaejua mbegu nzuri na bora sokoni?
Anaejua vipimo Vya kilimo Kwa mche na mche
Anaejua muda wa kukomaa tunda hilo na njia za uvunaji mzuri na wenye tija shambani.
Kiufupi nataka nisaidiwe elimu yote Kwa ufasaha kuanzia abc mpka z.
Kama wew ni mtaalamu wa tunda hilo ulimaji wa kitaalam Karibu unipe elimu Kwa maandishi na picha itapendeza Kuna vitu nahitaji kujifunza Kwa kuona uandaaji wa Shamba hasa Miche shambani mpka uvunaji wake
0625537380 Kwa maelezo ya picha Whatsapp au voice note
Kwa yeyote mwenye utaalam wa kisasa anakaribishwa hapa.