Lorenzo spencer
Member
- Aug 7, 2022
- 10
- 6
Usikute umelimia ukanda wa pwani, hahaaa, Kama ni pwani hakuna kitu hapo,Mimi ni mkulima wa strawberry na nmeanza kilimo Cha strawberry tangu January mwaka huu Ila bado sjafanikiwa kuona MATUNDA sjui ni wap nakosea Ila nmejitahidi kufuatilia bado sjapata ufumbuzi wa changamoto zinazonikabili ktk kilimo nnachokifanya naomba msaada wenu kwa anaejua?
Tangu january hadi sasa lazima awe kapata matunda hata ingekuwa breed gani, nazani jamaa possibility eneo anao limia, na usikute analimia ukanda wa pwani,Kilimo cha strawberry kinachangamoto Kama umenunua Miche tu na kupanda kabla hujajiridhisha kuhusu aina za mbegu na sifa zake
Mi ni mkulima pia na nilinunua mbegu ambazo ndani ya miezi 3 inatoa matunda
Na je umepanda mbegu gani? Kuna tristar pajero na Chandler
Upo mkoa gani nichek 0657 560542 nikuelekeze
Kilimanjaro mkuuUmelima mkoa gani? Ni mara yako ya kwanza?
Shukran sana broMtafute jamaa anaitwa MATUNDA AFYA ,yuko facebook atakuelekeza vizuri !