Lorenzo spencer
Member
- Aug 7, 2022
- 10
- 6
Mimi ni mkulima wa strawberry na nmeanza kilimo Cha strawberry tangu January mwaka huu Ila bado sjafanikiwa kuona MATUNDA sjui ni wap nakosea Ila nmejitahidi kufuatilia bado sjapata ufumbuzi wa changamoto zinazonikabili ktk kilimo nnachokifanya naomba msaada wenu kwa anaejua?