Kilimo cha Tikiti maji

Kilimo cha Tikiti maji

emmanuel mujuni

New Member
Joined
Jun 29, 2015
Posts
2
Reaction score
0
Habari wana JF,

Naomba mwenye ufahamu na kilimo cha matikiti maji anifahamishe mambo yafutayo;
1. Jinsi ya kulima
2. Mbegu gani nzuri

Natanguliza shukrani zangu za dhati
 
Back
Top Bottom