Njoo njombe zipo za kumwagaNilikuwa na watch Youtube kuhusu mkulima wa Apple Nchini Kenya anaitwa Wambugu (Wambugu Apple) nimekuwa inspired aisee, ingia Youtube andika Lynn Ngugi Wambugu apple utaiona, na anatoa darasa free of charge, kuna mtu yoyote ni mkulima wa Apple atupe dondoo la soko hapa Tanzania?
Njoo njombe zipo za kumwaga
okay nawana export ?
Ooh okay sijafuatilia mkuu hiki kilimo na soko lake but uwoni kwamba kuexport ni faidi zzidi..vipi upo kwenye kilimo hiki tupeane madini?Mzee kwanini ufkirie kuexport wakat hapa bongo kwenyewe soko ni uhakika
Kumbe! Mimi nilijua huwa zinaagizwa kutoka Afrika Kusini.Njoo njombe zipo za kumwaga
Mafinga Iringa wapo Tamu-tamu Tanzania wanalima na kuzalisha Miche kwa wahitaji mie nilinunua huko na kuipanda Geita naona inakwenda vyema.Kumbe! Mimi nilijua huwa zinaagizwa kutoka Afrika Kusini.
Mafinga Iringa wapo Tamu-tamu Tanzania wanalima na kuzalisha Miche kwa wahitaji mie nilinunua huko na kuipanda Geita naona inakwenda vyema.
Shukrani kwa taarifa hii, nimeipenda!Mafinga Iringa wapo Tamu-tamu Tanzania wanalima na kuzalisha Miche kwa wahitaji mie nilinunua huko na kuipanda Geita naona inakwenda vyema.
Miche michache 4 kuona ukuaji wake Kwanza ndani ya mwaka kisha biasharaok safi sana ulichukua kwa biashara? au kwa kula nyumbani lol
Unauliza soko usha zalisha? Hivi nani anawaambia kwamba u apaswa kwanza kupewa soko then ndio ukazalishe? Sikiliza unatafuta soko ukiwa na products, Kuna Wamisir huwa wanakuja hadi Tanzania na matunda yao ya sample kutafuta soko.Nilikuwa na watch Youtube kuhusu mkulima wa Apple Nchini Kenya anaitwa Wambugu (Wambugu Apple) nimekuwa inspired aisee, ingia Youtube andika Lynn Ngugi Wambugu apple utaiona, na anatoa darasa free of charge, kuna mtu yoyote ni mkulima wa Apple atupe dondoo la soko hapa Tanzania?
USha wahi lima hata mchicha? Unajuaje kuna faida kwenye ku export? unaweza ebda shindana na nchi kama Poland na wengineo ambao wana hecta na hecta za Apple?Ooh okay sijafuatilia mkuu hiki kilimo na soko lake but uwoni kwamba kuexport ni faidi zzidi..vipi upo kwenye kilimo hiki tupeane madini?
Kustawi itastawi je kuzaa? Hata Dar unaweza panda apple na ikastwai ila kutoa matunda ndio mzikiMafinga Iringa wapo Tamu-tamu Tanzania wanalima na kuzalisha Miche kwa wahitaji mie nilinunua huko na kuipanda Geita naona inakwenda vyema.
Imani yangu itastawi na kuota matunda, hapo kuna miche aina mbili inayohitaji au kukua kwenye mazingira ya baridi sana na Ile ya wastani.Kustawi itastawi je kuzaa? Hata Dar unaweza panda apple na ikastwai ila kutoa matunda ndio mziki
Kustawi itastawi je kuzaa? Hata Dar unaweza panda apple na ikastwai ila kutoa matunda ndio mziki
Mkuu, apple inakubali Geita?Mafinga Iringa wapo Tamu-tamu Tanzania wanalima na kuzalisha Miche kwa wahitaji mie nilinunua huko na kuipanda Geita naona inakwenda vyema.
β πok safi sana ulichukua kwa biashara? au kwa kula nyumbani lol
πππMiche michache 4 kuona ukuaji wake Kwanza ndani ya mwaka kisha biashara
ππ¨πππUnauliza soko usha zalisha? Hivi nani anawaambia kwamba u apaswa kwanza kupewa soko then ndio ukazalishe? Sikiliza unatafuta soko ukiwa na products, Kuna Wamisir huwa wanakuja hadi Tanzania na matunda yao ya sample kutafuta soko.
Hakuna mtu anaweza kukupatia soko kama huna mzigo, mtu anataka aone sample kwanza ndio muongeee biashara.
Zalisha then tafuta soko. by the way Apple si zinaliwa? ni chakula kile so zinaliwa
πππApple Za njombe zipo vizuri sana kuliko za south sema tu zimekosa kiki