Kilimo cha Tufaa (Apple)

Kilimo cha Tufaa (Apple)

Mimi nimeotesha apple DSM,, kupata matunda nilishapata ila simshauri mtu aoteshe aple dar..mikoa kama kagera..Arusha iringa Njombe sawa ila DSm ni changamoto saana..kipindi cha joto zinashambuliwa sana, nina mbegu ya wambugu kutoka kenya na nyingine nilinunua kuffel creek nadhani hata tamu tamu wananunua kwao
Watu wa Dar huwa wanajaribu vitu vingi sana
 
Au sio
IMG_20240121_120849_870.jpg
 
Miche ya apple ya Wambugu ni ghari sana na ile ndio miche ya uhakika, hii ya Iringa siijui hata ni aina gani ya apple. Wambugu apple ni nzuri sana
Mkuu CHASHA FARMING hivi mbegu za zaituni original kuacha ile zaituni za njano namaanjsha zaituni olive anaweza kupata wapi kwa hapa Tanzania
 
Back
Top Bottom