Kilimo cha Tufaa (Apple)

Hakuna mchongo wa maana ukazagaa mtandaoni kamwe ukiona kitu free kina gharama kubwa
 
✅👏👏👏🙏
 
Hakuna mchongo wa maana ukazagaa mtandaoni kamwe ukiona kitu free kina gharama kubwa
Nafikiri "semina" ndiyo free, lakini ukihitaji mbegu ni lazima ulipie. Na hilo ni la kawaida kabisa kwenye biashara.

Unaingia gharama ya kumwelimisha mteja, "akielimika" anakuungisha.
 
Mche wa Apple ni buku 3
Maybe ulipigwa
Mkuu, ni wapi wanakouza sh 3,000/=?

Wakenya wenyewe wanauza Ksh 500/= kwa mche mmoja, ukiibadilisha kwa hela ya Tanzania si chini ya Tsh 8,000/=.

Mimi nafikiri kama miche aliyouziwa ni "mizuri", hata kwa Tsh 10,000/= bado ni bei nzuri
 
Miche ya apple ya Wambugu ni ghari sana na ile ndio miche ya uhakika, hii ya Iringa siijui hata ni aina gani ya apple. Wambugu apple ni nzuri sana
 
Usipoteze muda kumuelewesha mtu asiyejua, nimeridhia mie kununua Sh 10,000/ au Sh 8,000/ yeye anasema Sh 3,000/ hawa ndiyo wanaishiaga kuvunja moyo wenzao.

Hata kama ningenunua Sh 20,000/ najua ulikuwa na kukomaa faida yake hivyo kwangu bei ilikuwa sawa.
 
Miche ya apple ya Wambugu ni ghari sana na ile ndio miche ya uhakika, hii ya Iringa siijui hata ni aina gani ya apple. Wambugu apple ni nzuri sana
Iringa wanazo aina tofautitifauti, na wanayo catalogue yao inafafania kila aina, binafsi niliagiza aina ijulikanayo kama Anna pamoja na Dorsett Golden zinazostawi maeneo yasiyo na baridi sana. Ipo na aina zingine zinastawi kwenye baridi kali.
 
Miche mmoja nilinunua Sh 10,000/ sasa wanauza Sh 8,500/ ila kuanzia Miche 12 nimeona wakitangaza hivyo.
Kuhusu kukua, najua itakuwa hapa nangoja kujua ufanisi wake.
Hata kama itakubali kukua vizuri...kabla ya kufanya large scale shamba ni muhimu kwanza ufanye trials huko shamba...miche 30 au 50....

Miti ya kupanda home huwa inapata special care ambayo ni ngumu ku maintain kwa shamba...ikiwa shamba itakubali with standard care, then utasema jaribio limefaulu....!
 
Kaka labda umesoma hukunielewa ujumbe wangu na pia kuuliza Soko si mbaya kwasababu kuna watu maybe washafanya na kuelewa hili zao vizuri ndio maana unatakiwa kufanya research kwa jambo lolote ambalo ujalianza kujua undani wake na sio kila kinacholiwa kinapendwa na wengi.
 
Sijawahi Kaka nasijasema soko la nje ni rahisi na mimi nipo nje naona watu wanavyopambana kuleta mazao huku na kupata faida kila kitu kinawezekana ni kupambana tuu usiwatishe watu ndugu
 
Sio kweli kaka tunajifunza vingi kwenye mitandao kwa bure na vinatusaidia kusonga na maisha.
Vinakusaidia kusonga na maisha ila hakuna mchongo wa maana ukazagaa mtandaoni elewa pointi
 
Kustawi itastawi je kuzaa? Hata Dar unaweza panda apple na ikastwai ila kutoa matunda ndio mziki
Mimi nimeotesha apple DSM,, kupata matunda nilishapata ila simshauri mtu aoteshe aple dar..mikoa kama kagera..Arusha iringa Njombe sawa ila DSm ni changamoto saana..kipindi cha joto zinashambuliwa sana, nina mbegu ya wambugu kutoka kenya na nyingine nilinunua kuffel creek nadhani hata tamu tamu wananunua kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…