Kilimo cha ufuta Lindi

Kilimo cha ufuta Lindi

nangongocho

Member
Joined
Jun 7, 2020
Posts
25
Reaction score
13
Wakuu kwa wanaojua bei ya mnada wa kwanza kupitia Chama cha Ushira mkoa wa Lindi Runali mwaka huu 2020 watujuze.

Asante.
 
Nami nasubiria jibu maana hadi sasa hakuna taarifa za uhakika toka RUNALI
 
Mnada haukufanyika, kutokana Kutokuwepo kwa mzigo wa kutosha katika maghala Makuu,, watapiga wiki Ijayo kwa maana Jumapili ijayo. Pia nilisikia Redio Mbao kua Jumatano ya keshokutwa wanaweza kupiga. Ngoja tusubiri.
 
OKE asante
 
Mnada ilibidi upigwe Jana ila umeghairishwa kutokana na mzigo haupo wa kutosha maghalani
 
Back
Top Bottom