Kilimo cha umwagiliaji Ruvu

Kilimo cha umwagiliaji Ruvu

makolola

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2014
Posts
765
Reaction score
289
Habari,

Nahitaji kuanza kilimo cha uwagiliaji kwa maana ya bamia,pilipili na nyanya chungu.

Naomba mwenye uzoefu wa kilimo huko na urahisi wa kupata maeneo anijulishe.
 
Habari,

Nahitaji kuanza kilimo cha uwagiliaji kwa maana ya bamia,pilipili na nyanya chungu.

Naomba mwenye uzoefu wa kilimo huko na urahisi wa kupata maeneo anijulishe.

Mkuu unatafuta eneo LA kukodi au kununua?
 
kukodi nataka kuanza na nusu au heka moja

La kukodi ni inshu ila nina rafiki yangu analima sn vitunguu anayafahamu yanayouzwa kwa laki mbili kwa eka moja kama utakuwa interested nitaku pm no yake.
 
Back
Top Bottom