Kilimo cha Vanilla nchini Tanzania

Ni ngumu ku estmate gaharama kwa kuwa inahusisha kununua shamba la kwako kabisa. Na huwez jua shamba utauziwa wa bei gani mkuu.

Sent from my TECNO M6 using JamiiForums mobile app
Nashukuru mkuu, labla kwa kuwa sikuweka sawa swali ni kwamba tuondoe gharama za kununua shamba kwani tayari ninalo na pia kwa hekari moja mavuno yanaweza fikia kilo ngapi?
 
Nashukuru mkuu, labla kwa kuwa sikuweka sawa swali ni kwamba tuondoe gharama za kununua shamba kwani tayari ninalo na pia kwa hekari moja mavuno yanaweza fikia kilo ngapi?
Boss vanilla ni very selective! Usidhani mahala popote ulipo na shamba unaweza kulima hii kitu. Otherwise kila mkoa ingekuwa inalimwa. Nimeinclude kununua shamba nikiamini ili uweze kuvuna na kupata faida ni lazima ufate maeneo ambayo ni favourable kwa kilimo hiki, na bahati mbaya shamba halihamishiki.

Na gaharama za utunzaji pia zitatofautiana kulingana ulipo.
Otherwise nikwambie za maeneo nilipo mimi, japo ninahisi shamba lako lipo sehem nyingine

Sent from my TECNO M6 using JamiiForums mobile app
 
Nimekupata kiongozi ila kuna mdau kataja baadhi ya mikoa inayofaa kulima hili zao nikaona hata mkoa niliko na shamba nao umetajwa ndio nikahamasika kuiliza
 
very interesting mkuu..
 
inabidi niwepo hapa,,mana niliwahi kuziona kwa shangazi kijijini kule
 
Ndugu... vp straw hakuna soko la uhakika.... nina uwezo wa kucheua kilo hata 100 kila baada ya cku 3

Sent from "La -Vista"
 
Ni ngumu sana kuotesha Vanila, ndiyo maana unaona hailimwi kwa wingi. Binafsi sijawahi kukutana nayo kabisaa
 
Wakuu soko la Vanilla Tanzania hapa lipoje? Wadau wakubwa wa hii kitu ni wakina nani??
 
Wakuu soko la Vanilla Tanzania hapa lipoje? Wadau wakubwa wa hii kitu ni wakina nani??


Soko ni la kimataifa kwa hiyo hii biashara ni inawezekana kabisa.

Unaweza kudhani soko la kutegemea nje ni la kidhania tu lakini kiuhalisi biashara nyingi zipo katika platform hiyo mfano mzuti ni kilimo cha ufuta ambacho ni purely for export!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…