wabongo tuna vituko, unasema ni ngumu kuotesha, ila hujawahi kutana nayo.Ni ngumu sana kuotesha Vanila, ndiyo maana unaona hailimwi kwa wingi. Binafsi sijawahi kukutana nayo kabisaa
Vanilla inalimwa Uganda na sasa hivi Mkoa wa Kagera.
Ni zao lenye faida sana. Sasa hivi Kilo moja ni 120,000 kwa mkoa wa Kagera (Ingawa Mkulima bado anapunjwa) wanunuzi wakubwa ni Waganda na Kampuni nyingine moja ambao ndo wanashindana bei.
Zao hili linahitaji uangalizi sana hasa wakati linapotoa maua kwani inatakiwa kufanya kuunganisha maua yake kwa sababu hatuna nyuki wa kufanya natural pollination.
Ni bahati mbaya Wanzangu wa Bukoba hatujaliona hili zao km njia mbadala ya kututoa baada ya kahawa kufifia.
Vijana wengi wanalalamika ni zao ambalo linahitaji uangalizi lkn ukiwaulia wanafanya nini hakuna wanalofanya.
Mimi nimempa Kijana mmoja challenge. Nimeotesha miche 300 kwenye kisehemu changu huko Bukoba, nimemwambia aiangalie alafu atapata 20% ya faida. Sasa hivi imeshapandwa. Ntawawekea picha baadae

Mkuu SerioMiaka kama 12 nyuma, nilikua Uganda. Vanila ilipanda bei to almost 500$ per kilo, kiasi kwamba kila mtu akimibilia kulima... Wengine wali chukua mikopo benki na kwa bahati mbaya, bei ya Soko ilikuja kushuka to almost nothing... Waliochukua mikopo kidogo wachizike... Wengine wakafyeka mashamba yao kwa hasira...
Hizi biashara muda mwingine ni pasua kichwa
Povu lote hilo jazba za nini sasa?wabongo tuna vituko, unasema ni ngumu kuotesha, ila hujawahi kutana nayo.
haha si matango pori ya story za whatapp na facebook. acha wazoefu waje walete uzoefu wa hali halisi kuliko nadharia
Mbegu ulitoa wapi mkuu?Vanilla inalimwa Uganda na sasa hivi Mkoa wa Kagera.
Ni zao lenye faida sana. Sasa hivi Kilo moja ni 120,000 kwa mkoa wa Kagera (Ingawa Mkulima bado anapunjwa) wanunuzi wakubwa ni Waganda na Kampuni nyingine moja ambao ndo wanashindana bei.
Zao hili linahitaji uangalizi sana hasa wakati linapotoa maua kwani inatakiwa kufanya kuunganisha maua yake kwa sababu hatuna nyuki wa kufanya natural pollination.
Ni bahati mbaya Wanzangu wa Bukoba hatujaliona hili zao km njia mbadala ya kututoa baada ya kahawa kufifia.
Vijana wengi wanalalamika ni zao ambalo linahitaji uangalizi lkn ukiwaulia wanafanya nini hakuna wanalofanya.
Mimi nimempa Kijana mmoja challenge. Nimeotesha miche 300 kwenye kisehemu changu huko Bukoba, nimemwambia aiangalie alafu atapata 20% ya faida. Sasa hivi imeshapandwa. Ntawawekea picha baadae
Mkuu naomba kujua gharama ulizotumia kuotesha hiyo miche 300 na kwa ekari ngapi.asante.Vanilla inalimwa Uganda na sasa hivi Mkoa wa Kagera.
Ni zao lenye faida sana. Sasa hivi Kilo moja ni 120,000 kwa mkoa wa Kagera (Ingawa Mkulima bado anapunjwa) wanunuzi wakubwa ni Waganda na Kampuni nyingine moja ambao ndo wanashindana bei.
Zao hili linahitaji uangalizi sana hasa wakati linapotoa maua kwani inatakiwa kufanya kuunganisha maua yake kwa sababu hatuna nyuki wa kufanya natural pollination.
Ni bahati mbaya Wanzangu wa Bukoba hatujaliona hili zao km njia mbadala ya kututoa baada ya kahawa kufifia.
Vijana wengi wanalalamika ni zao ambalo linahitaji uangalizi lkn ukiwaulia wanafanya nini hakuna wanalofanya.
Mimi nimempa Kijana mmoja challenge. Nimeotesha miche 300 kwenye kisehemu changu huko Bukoba, nimemwambia aiangalie alafu atapata 20% ya faida. Sasa hivi imeshapandwa. Ntawawekea picha baadae
Mbeya vanilla hamna,nilifuatilia sana,ila wakoloni walileta hilo zao mbeya wilaya kyela,ila wenyeji wakaona linawasumbua namna ya kuliendesha hasa kuchavua,wakayafyeka yote.Vanilla si kama figisu za kware au matikitimaji Root. Vanilla inauzwa katika international markets. Hata hapa Tanzania kuna viwanda vya chai vinanunua vanilla kuchanganya kwenye chai. Watengeneza kahawa (grade 1), Icecream na viburudisho mbalimbali wanahitaji vanilla. Shida ya vanilla kwa bukoba inaathiriwa sana na ukame/mabadiliko ya tabia nchi kwani vanilla inahitaji mvua nyingi sana. Pia uwekezaji uwe tayari kuvumilia miaka 3. Na mdau mmoja kasema hakuna natural pollination katika vanilla, lazima uwe na vibarua wa kutosha tena waliofundishwa kufanya uchavushaji wa maua ndani ya siku 2.
Nilisikia morogoro na mbeya wanalima ingawa sina taarifa kamili. Nafahamu vyama viwili vya wakulima wa vanilla bukoba; moja Kamachumu vanilla farmers association kilichiopo Kamachumu Wilaya ya Muleba na Maruku farmers assocoaition sijui iko wapi.