Kilimo cha Zabibu kwa mkoa wa Dodoma

Kilimo cha Zabibu kwa mkoa wa Dodoma

isayaj

Senior Member
Joined
May 10, 2022
Posts
153
Reaction score
146
Napenda kuwasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Japo siyo mwandishi mzuri ila napenda ku-share na nyie Watanzania wenzangu kuwa zipo furusa nyingi za uwekezaji lakini baadhi yetu hatujui na hatujawahi fuatilia. Mkoa wa Dodoma ni maarufu kwa zao la zabibu na mm ni mmoja wa wakulima wa zao Hilo.

Kwa mazao ya kibiashara ninayo yajua mim naliweka namba 1 kwa kua zao linaloweza kumuinua mtu kiuchumi na kuamua kuacha hata ajila za serikalin kwa kua zao hili linavunwa mara mbil kwa msimu mmoja kutegemeana na huduma za shambani.

Ukihudumia vizuri shamba la hekari moja na nusu unaweza vuna kuanzia kg13600 Hadi 14000 ukizidisha kwa bei ya kg1 ambayo inacheza kuanzia 1200_1500 kwa hyo haipungua million 16 kwa mvuno mmoja ukizidisha mara mbili kwa kua huvunwa mara mbil kwa mwaka hazpungui million 30 kwa shamba la hekali moja na nusu. Ukiwa nashamba la hekali Tano ukipiga hesabu utaelewa kwahyo vijana tuchangamkie furusa cyo lazma wote tuajiliwe serikalin tunaweza kuajili watu pia.
 
Ahsante sana kwa andiko lako. Naomba utueleze gharama za kulima hiyo heka moja ya zabibu hadi kuvuna kwa Dodoma ni Tsh ngapi?
 
Ahsante sana kwa andiko lako. Naomba utueleze gharama za kulima hiyo heka moja ya zabibu hadi kuvuna kwa Dodoma ni Tsh ngapi?
Ukiwa na shamba heka moja haiwez zidi million 4
 
Maeneo gani naweza pata zabibu kwa bei nafuu kwa sasa?? Ni za kula tula tu but zinahitajika nyingi kidogo. Msaada tafadhali
 
Back
Top Bottom