ntmgenesis
Senior Member
- Apr 22, 2010
- 167
- 30
Okey cha msingi ni kakikisha unapoenda kulima maji hayatuami na upigaji wa dawa za kuuwa wadudu ni muhimu sana lfiji sijawahi fika ila ufuta unastawi sana pia kuna mbegu ambazo zinasoko kubwa pia hili uzingatie mim nipo moro kwa sasa ila natamani sana kama ninge pata shamba huko vipi yanapatika huko?
Usivunjike moyo ufuta hautabiliki we lima kwa wingi utakuwa tajiri cha msingi ni kujua soko na bei nzuri tuwasiriane lkn ningependa jua unataka kulima wapi ili nikupe ushauri zaidi.
Okey cha msingi ni kakikisha unapoenda kulima maji hayatuami na upigaji wa dawa za kuuwa wadudu ni muhimu sana lfiji sijawahi fika ila ufuta unastawi sana pia kuna mbegu ambazo zinasoko kubwa pia hili uzingatie mim nipo moro kwa sasa ila natamani sana kama ninge pata shamba huko vipi yanapatika huko?
Asante mkuu. Natarajia kulimia maeneo ya huku ukanda wa Rufiji
mkuu mi nataka kulima dodoma, naomba ushauri mkuu ntmgenesis
Tumia hii adress kunitafuta ntmgenesis@yahoo.com
Nashukuru sana mkuu kwa ushauri. Vp upande wa mbegu lindi02 kwa dodoma ni nzuri?Kaka hii ngoma Dodoma inastawi sana kwa sababu dodoma ina mvua za wastani na maji hayatuami hivyo kufanya ufuta kustawi vizuri la msingi ni kulima maeneo yenye rutuba utafanikiwa sana.
nashukuru sana mkuu kwa ushauri. Vp upande wa mbegu lindi02 kwa dodoma ni nzuri?
Duuu aisee hauko serious kunisaidia kaka
Huwez kunipa email sa kuna tofauti gani na kuchatia hapa jf?
If you wanna help give me yo number not email
Samahani nazani naweza kukusaidia hum hum JF maana kwa sasa mm nipo Dubai kunawawekezaji nawafuatilia tunataka tuje lima UFUTA in large scale ata nikupa mawasiliano itakua ni bule maana tunatembea kutoka sehemu moja kwenda nyingine.
Hii mbegu imefanyiwa research kule Mtwara na kituo kimoja kinaitwa Naliendele ni mbegu nzuri na inauwezo mkubwa wa kuvumilia magonjwa yaani lazima uvune na inastawi sehemu zote kwenye hali yenye rutuba Dodoma inafanya vizuri sana ukiweza kulima utaamini kuna mzee mmoja huko ni mtaalamu sana nitaongea nae niwaunganishe yy yuko chamwino.
Hyo mbegu inaitwaje na inapatikana wp?
I mean naipataje?
Nawez pia.kujua aina zingine za mbegu za ufuta besides hyo?
Wew uko wapi na unataka lima wapi?
Niko dar
Nalima Kilwa kuna semeh inaitwa somanga
Nitashukuru sana mkuu. Namba zangu ni 0713339762. Niunganishe nae huyo mtu maana nami shamba nimeandaa chamwino tayarI.Hii mbegu imefanyiwa research kule Mtwara na kituo kimoja kinaitwa Naliendele ni mbegu nzuri na inauwezo mkubwa wa kuvumilia magonjwa yaani lazima uvune na inastawi sehemu zote kwenye hali yenye rutuba Dodoma inafanya vizuri sana ukiweza kulima utaamini kuna mzee mmoja huko ni mtaalamu sana nitaongea nae niwaunganishe yy yuko chamwino.
Nimeanza kuvuna ufuta shambani kwangu, kwa sasa nafanya comparison ya bei na wanunuzi. JF ni jungu kuu naombeni member wenye kujua wanunuzi mbali mbali wanipe contacts zao ile nilinganishe bei nifanye right choice ktk kuuza mzigo.
Thanks wadau wote.
sorry naona unanifanya nifungue darasa sasa; hivi siwezi pata eneo huko Somanga kama lipo naweza pata kwa kiasi gani?