Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

Wakuu nipo mkoani rukwa na ni mkuluma wa ufuta,lakini kwa kipindi kirefu nimekuwa nikipanda kwa njia za kienyeji sana ila baada ya kuona kuwa ufuta unanilipa vizuri nimeamua kuwekeza nguvu nyingi huko.

Nimeamua kutafuta mashine ya kupandia ili kurahisisha kazi lakini pia kuongeza tija katika kilimo. Ninaomba msaada kwa yeyote anayefahamu upatikanaji wa mashine hiyo kwa hapa Tanzania.

Asanteni sana wakuu.
 

Nimeku-PM unitafute zipo hutaki.
 
Naona unakifaham vyema hiki kilimo...Nilikuwa nina mpango wa kulima alizeti ila nimeshawishika kulima ufuta kama ekari 15,vipi kuna magojwa gani ambayo ni common nitakayopambana nayo na dawa zake..

Unalima wp mkuu
 
Nalimia Mbeya,nimepata eneo wilaya ya Mbarali

Sawa mkuu nadhan kikubwa wasiliana na maafisa klimo ujue kuhusu magonjwa na rutuba ya mahali hapo
Mbegu lindi 2002 is more advisable inatoa mpaka tani 1.5
 
Mrejesho:

  • kati ya eka 30 nilizopanda ufuta ulistawi vzuri na kuvunwa eka 17..hii ilisababishwa na uangalizi mbovu wa aliyekuwa ananisimamia shamba.
  • Kwanza hongera kwa kupata hicho ulichopata japo malengo hayakufanikiwa...mimi ninalima mwaka huu na nimenunua mbegu Lindi 2002 tayari but hvi nafasi kati ya mmea na mmea na mstari mmoja na mwengine inatakiwa iwe vip kitaalam na katika shimo moja angalau kuwe na miche mingapi,vipi na mvua za mwezi March hazina athari wakati maua yanatoka maana niliona mdau mmoja alitahadharisha hapa kuwa mvua za March zikikuta mimea ndo inatoa maua basi itakuwa ni majuto..uli-note kitu kama hicho.
 
Mbegu hufa au huzaa ufuta uliodumaaSoko la ufuta ni kubwa sana, ila ugumu wa ulimaji wake hufanya wakulima wengi wakimbie kilimo cha ufuta.
Kuna changamoto gani hasa nitakayopapana nayo coz nina eneo la kama ekari 30 nimechukua mambo yasije yakwa mabaya.
 
Dawa za kuulia magugu ulizipata?ili nami unisaidie jina la dawa hiyo na bei yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…