BORALIENDE
Member
- Apr 6, 2014
- 24
- 10
Mwezi January katikati
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu nipo mkoani rukwa na ni mkuluma wa ufuta,lakini kwa kipindi kirefu nimekuwa nikipanda kwa njia za kienyeji sana ila baada ya kuona kuwa ufuta unanilipa vizuri nimeamua kuwekeza nguvu nyingi huko.
Nimeamua kutafuta mashine ya kupandia ili kurahisisha kazi lakini pia kuongeza tija katika kilimo. Ninaomba msaada kwa yeyote anayefahamu upatikanaji wa mashine hiyo kwa hapa Tanzania.
Asanteni sana wakuu.
Mwezi january katikati
Salama mkuu? Mwezi January katikati ndiyo unapanda au kuanza kuandaa shamba mkuu?
nimeku pm unitafute zipo hutaki.
habari kaka?samahani una contacts ambapo naweza pata mbegu ya ufuta?
Habari ya pilika gwiji??
Umeshaanza maandalizi bro?
Naona unakifaham vyema hiki kilimo...Nilikuwa nina mpango wa kulima alizeti ila nimeshawishika kulima ufuta kama ekari 15,vipi kuna magojwa gani ambayo ni common nitakayopambana nayo na dawa zake..
Nalimia Mbeya, nimepata eneo Wilaya ya MbaraliUnalima wp mkuu
Nalimia Mbeya,nimepata eneo wilaya ya Mbarali
Nalimia Mbeya,nimepata eneo wilaya ya Mbarali
Vipi mkuu, huko mvua sanasa zinakatika mwezi gani ili nifanye comparison nami nijue nilime wakati gani.Mwezi january katikati
Hata mie ninapanga kulima eneo la Msata maandalizi ni lini? Shamba nimeanza kusafisha.Kuna mtu yoyote analima pande za kibaha?maandalizi ya shamba ni lini?
Mrejesho:
- kati ya eka 30 nilizopanda ufuta ulistawi vzuri na kuvunwa eka 17..hii ilisababishwa na uangalizi mbovu wa aliyekuwa ananisimamia shamba.
Kuna changamoto gani hasa nitakayopapana nayo coz nina eneo la kama ekari 30 nimechukua mambo yasije yakwa mabaya.Mbegu hufa au huzaa ufuta uliodumaaSoko la ufuta ni kubwa sana, ila ugumu wa ulimaji wake hufanya wakulima wengi wakimbie kilimo cha ufuta.
Dawa za kuulia magugu ulizipata?ili nami unisaidie jina la dawa hiyo na bei yake.Habari mimi ni mgeni katika safu hii na ninashamba jipya liko Morogoro lakini kwa kuanza tu ningependa kujua aina ya dawa unazotumia kuuwa magugu na zinapatikana wapi? ikiwezekana nipatie na bei
na pia ningependa sana kujua unalima wapi? na kama naweza pata shamba huko? maana huko ndiko kwenyewe
Dawa za kuulia magugu ulizipata? ili nami unisaidie jina la dawa hiyo na bei yake.