Wadau niko zangu Dodoma vijijini huku nanunua nunua ufuta na kwenda kuuzia pale Dom mjini na ss hv bei ni 2600 mpk 2650 kwa kilo
Ila ningependa kujua Soko la Dar bei ikoje kwa anaejua ili niangalie km naweza naweza kupeleka mzigo huko
Natanguliza shukrani
WanaJF,
Kwa wale unaolima ufuta au mnaonunua kwa wakulima wadogo,projection inaonyesha kutakuwa na soko zuri la ufuta mwaka huu.
Nimekuwa approached na mfanya biashara mwenye partnership na mchina anaehitaji tani 200,000 mwaka huu wakati wa kuvuna.
Ufuta unahitajika ni lindi 2002. Tupo kwenye maongezi ya awali na nampelekea sample this weekend.
Kwa wenye interest stay in touch. Usiulize bei at this stage kwa maana ni mapema mno ila itakuwa nzuri
Heshima mbele wakuu
Imeonekana zao la Ufuta linafaa kwa Biashara na halina Usumbufu mkubwa Tatizo la Biashara hii wanunuzi wakubwa kwa hapa bongo niwachache,,! Last wk niliona Dr BILAL akiwa Japan akionyeshwa Mashine yakukamulia Mafuta ya Ufuta nikajua kumbe kule kuna SOKO wazo langu kwanini tusianzishe kikundi cha walima UFUTA then tutafute Contanct Nje ya NCH tukajaribu kuomba kuwatoshelezea Malighafi hiyo kwenye Kiwanda chao lengo kupata Bei yenye Maslah zaidi yahii wanayotoa waHINDI ni wazo tu,,!
Heshima mbele wakuu.

Wazo langu nafikiri tuwe na Umoja wa Wakulima tofautix2 km wakulima wa Vitunguu,,! Ufuta Alizet nk..! Khs namna gani ifanyike watu wakishakubaliana nakukutana Kwenye Vikao ndo yote yanajadiliwa km watu wafanye Prossesing or wauze Bidhaaa ghafi nadhani hakuna kinachoshindikana km kuna NIA ya dhati..! Nalengo ckikundi kulima pamoja NO,kila mtu kivyake ila kuwe na Uratibu ili kufikia malengo hii inasaidia hata Bei ya soko mnapanga wenyewe ni Wazo tu,,!
Ni wazo zuri kutengeneza umoja au ushirikiano wa wakulima wa ufuta, na badala ya kusafirisha ufuta ghafi tungefikiria kufanya processing tukauza nje mafuta au final product yoyote ya ufuta kwa bei nzuri zaidi. Kilimo biashara chenye tija zaidi kwa mkulima!
Hapo kwenye nyekundu - wengine huwa wanashauri kuwa, unatafuta Soko kwanza ndipo unazalisha. Binafsi sijui nini kinatangulia.
Hata hivyo ni Wazo zuri. Mimi ni Muumini wa Ushirika. Ninaamini kuwa kupitia Ushirika "tutatokamo". Haijarishi iwe kwenye Kilimo kikubwa au kidogo, Biashara kubwa au ndogo au hata katika Ibada zetu binafsi.
Swali: Nani na nani washirikiane, bila ubinafsi na kwa kuamianiana, kumfunge kengele shingoni huyu Paka anayeitwa "Ushirika"?
Wazo langu nafikiri tuwe na Umoja wa Wakulima tofautix2 km wakulima wa Vitunguu,,! Ufuta Alizet nk..! Khs namna gani ifanyike watu wakishakubaliana nakukutana Kwenye Vikao ndo yote yanajadiliwa km watu wafanye Prossesing or wauze Bidhaaa ghafi nadhani hakuna kinachoshindikana km kuna NIA ya dhati..! Nalengo ckikundi kulima pamoja NO,kila mtu kivyake ila kuwe na Uratibu ili kufikia malengo hii inasaidia hata Bei ya soko mnapanga wenyewe ni Wazo tu,,!
Wana JF,