bintimzalendo
Member
- Feb 27, 2014
- 74
- 30
Habar za asubuh wadau!
Nimepata mashamba maeneo ya kisarawe na ninataka mwaka huu nilime ufuta. Nimesikia ufuta una soko zuri na uhitaji wake ni mkubwa.
Naombeni taarifa sahihi juu ya ulimaji, upatikanaji wa mbegu, soko na msaada wa kitaalamu juu ya kilimo cha ufuta. Pia ntashukuru kama kunasehemu (kampuni/mtu binafsi anaeweza kunipa msaada wa kitaalamu.
Nawatakia jumatatu njema na swaumu njema kwa wafungaji.
Wenu katika ujenzi wa taifa Binti mzalendo