Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

Habar za asubuh wadau!

Nimepata mashamba maeneo ya kisarawe na ninataka mwaka huu nilime ufuta. Nimesikia ufuta una soko zuri na uhitaji wake ni mkubwa.

Naombeni taarifa sahihi juu ya ulimaji, upatikanaji wa mbegu, soko na msaada wa kitaalamu juu ya kilimo cha ufuta. Pia ntashukuru kama kunasehemu (kampuni/mtu binafsi anaeweza kunipa msaada wa kitaalamu.

Nawatakia jumatatu njema na swaumu njema kwa wafungaji.

Wenu katika ujenzi wa taifa Binti mzalendo
 
Wazo njema. Jaribu kuandaa shamba mapema,tumia mbegu nzuri yakisasa panda kwa mstari palilizi ni muhimu nadawa pia.

KUHUSU SUALA LA SOKO,madalali ni tatizo kubwa,ndyo waliyoua soko la ufuta,mwakajana ufuta ulikuwa nabei nzuri mwaka huu bei imeshuka, kutokana na madalali na baadhi ya wakulima waliweka mchanga kwenye ufuta ili kuzidisha kilo,matokeo yake baadhi ya makampuni toka nje hawakufika kununua ufuta sababu ufuta ni mchafu hauko kwenye viwango vizuri vya soko, hayo makampuni yaliyokuja kununua tna wananunua ufuta kwa bei isiyoridhisha, na pia wamekuwa makini ktk kukagua km una mchanga na km una mchanga unauchekecha hapohapo kwenye kampuni ndyo waupime nakununua.
 
Ni kilimo cha kawaida na rahisi kama kuna usimamizi wa karibu. Mi nina kampuni ya ushauri wa mambo ya kilimo na ufuta ni mojawapo ya mazao tunayoyashughulikia, hivyo twaweza kuwasiliana kwa ushauri zaidi.
 
Ni kilimo cha kawaida na rahisi kama kuna usimamizi wa karibu. Mi nina kampuni ya ushauri wa mambo ya kilimo na ufuta ni mojawapo ya mazao tunayoyashughulikia, hivyo twaweza kuwasiliana kwa ushauri zaidi.

Hiyo kampuni inatoa ushauri kwa garama gani? au bure?
 
Wazo njema,jaribu kuandaa shamba mapema,tumia mbegu nzuri yakisasa panda kwa mstari palilizi ni muhimu nadawa pia. KUHUSU SUALA LA SOKO,madalali ni tatizo kubwa,ndyo waliyoua soko la ufuta,mwakajana ufuta ulikuwa nabei nzuri mwaka huu bei imeshuka,kutokana na madalali na baadhi ya wakulima waliweka mchanga kwenye ufuta ili kuzidisha kilo,matokeo yake baadhi ya makampuni toka nje hawakufika kununua ufuta sbb ufuta ni mchafu hauko kwenye viwango vizuri vya soko,hayo makampuni yaliyokuja kununua tna wananunua ufuta kwa bei isiyoridhisha,napia wamekuwa makini ktk kukagua km una mchanga nakm una mchanga unauchekecha hapohapo kwenye kampuni ndyo waupime nakununua.

Asante mkuu, inaonyesha unataarifa za kutosha kuhusu hiki kilimo na masoko yake. Naomba kukutafuta kama hutojali
 
Ni kilimo cha kawaida na rahisi kama kuna usimamizi wa karibu. Mi nina kampuni ya ushauri wa mambo ya kilimo na ufuta ni mojawapo ya mazao tunayoyashughulikia, hivyo twaweza kuwasiliana kwa ushauri zaidi.

Kama unakampun naomba mawasiliano ya ofc/ yako binafsi
 
Habar za asubuh wadau!

Nimepata mashamba maeneo ya kisarawe na ninataka mwaka huu nilime ufuta. Nimesikia ufuta una soko zuri na uhitaji wake ni mkubwa.
Naombeni taarifa sahihi juu ya ulimaji, upatikanaji wa mbegu, soko na msaada wa kitaalamu juu ya kilimo cha ufuta.
Pia ntashukuru kama kunasehemu (kampuni/mtu binafsi anaeweza kunipa msaada wa kitaalamu.
Nawatakia jumatatu njema na swaumu njema kwa wafungaji.
Wenu katika ujenzi wa taifa Bintimzalendo

Wazo zuri sana, ufuta una ipa sana na una soko kubwa sana! Kila la heri dada
 
Wazo zuri sana, ufuta una lipa sana na una soko kubwa sana! Kila la heri dada

UNALOONGEA NI KWELI MKUU UFUTA UNALIPA SNA TATIZO NI MADALALI.EMBU ANGALIA BEI ZA MAENEO HAYA morogoro gunia LAKI NA THEMANINI HADI LAKI2.sumbawanga laki2,TANGA laki2 PWANI laki nathemanini,MANYARA hawa majamaa walianza na laki5 gunia na sahvi wanauza laki3.hawa wenzetu wa manyara wanafanikiwa kuuza kw bei kubwa sbb wanalima maeneo makubwa nawamezibiti madalali,kuna makampuni ya wahndi toka arusha ndyo wananunua hapo manyara.wakulima wa manyara wako makini kila idara kuanzia uzalishaji wako juu kwa pato kwa eka,mbegu bora napia wanazalisha ufuta wenye kiwango.

HAYO MAENEO YOTE NILIYOTAJA NIMEFANYA UTAFITI MM MWENYEWE NILIANZIA MOROGORO PWANI NA TANGA,sumbawanga nilichukua tarifa kwa wadau sijafika,MANYARA nawaelewa tangia mwanzo na sahv ndyo naelekea MANYARA kuchukua data nzuri kwnn wao wamefanikiwa kuliko mikoa mengine
 
Kuna ufuta wa kijani na ufuta mwekundu.

1. Ufuta wa kijani mazao yake ni hafifu na hushambuliwa sana na magonjwa.

2. Ufuta mwekundu huzaa sana na hutoa matawi mengi yalijaza mbegu za ufuta, na ni nadira sana kushambuliwa na magonjwa, kwa sasa hivi ni maarufu Kisarawe katika vijiji vya Mwanzomgumu, Mbezi na Bwama.
 
Ni kweli ufuta unalipa ila ili uone faida yake yakupasa ulime ekari nyingi sana.

Kwa tathimini isiyokuwa na shaka, ekari moja ukiihudumia ipasavyo utapata gunia4 na kila gunia kwenye favorable market ni sh300,000/= na nizao la kuvizia msimu. Ikiwa mvua zitazidi mwaka huo basi hupati kitu hapo. Kwahiyo ndo kusema kwamba maximum kwenye ekari moja utapata sh 1,000,000/=

Hiyo ni hela ndogo sana ukilinganisha na aliyelima ekari1 ya matikiti,kitunguu,nyanya,hoho, fiwi, dengu na hata tumbaku kwajili ya ugoro. Na katika mazao yote niliyotaja hapo juu the best ni matikiti,dengu/fiwi na tumbaku make huvunwa kwa mkupuo na kuuzwa at par!

Mi ufuta sijakubaliana nao ni kwasababu ya volume ya kinachopatikana vs ukubwa wa eneo lililotumika.
Kuna mazao kibao yanalipa katika ardhi yetu ila tatizo hatufanyi utafiti wa kipi kilimo chenye tija na nizao lipi linalipa zaidi.
 
Kisima tunatofoutiana ktk mawazo na mtazamo.unalosema nikweli ili upate faida unatakiwa ulime pakubwa tofouti na bustani
 
NITATOA MFANO KITUNGUU GARAMA NI 2.5MILION KW EKA NA UKIPATA PATO NZURI NIGUNIA MIA NA UKIUZA KWA BEI YA 50ALFU UTAPATA 5MILION,ukija kwa ufuta kwa hela hyo unaweza ukalima eka 20 ya ufuta naukitunza vizur unaweza ukapata gunia 80 ukiuza kwa 300000 unaweza ukapata 24milion.nakm ni suala la mvua cha muhimu ufuta upande katika mstari ili iwe rahisi kupiga dawa ya ukungu.wengi wanashndwa kuvuna ufuta kipindi cha mvua nyng sbb hawapig dawa napia upandaji wao niwa hovyo sna.
 
Kuna ufuta wa kijani na ufuta mwekundu.

1. Ufuta wa kijani mazao yake ni hafifu na hushambuliwa sana na magonjwa.
2. Ufuta mwekundu huzaa sana na hutoa matawi mengi yalijaza mbegu za ufuta, na ni nadira sana kushambuliwa na magonjwa, kwa sasa hivi ni maarufu Kisarawe katika vijiji vya Mwanzomgumu, Mbezi na Bwama.

Huo ufuta mwekundu niliona kuna jamaa alipanda nakweli ulistawi sna shamba ila ckujua mbegu yake inaitwaje,nilipomwuliza mhusika nayy pia hajui anadai alipewa hapo ungenisaidia aina hyo ya mbegu.
 
Nililima kama acre tatu hivi Mpwapwa, nikapata kama gunia Tisa nimeuza nimebaki na gunia mbili baada ya bei kuporomoka.Kama unazihitaji nipm. Ufuta mweupe Lindi two.
 
GEBA2013 Habari ya siku nyingi? mbona uliondoka kimoja mkuu na mchakato wangu ukaamua kuunyonga?

Anyway tuachane na hayo, labda nikuulize kwa ufupi tu, unajua kwamba tukitenga tsh3,000,000/= kila mmoja. Wewe ukalima maekari yako ya ufuta na mimi ekari zangu2 tu za tikitimaji nakuhakikishia kupata tsh40,000,000/= bila zengwe! Je, wewe utaingiza sh ngapi mkuu? Na kama hela hiyo (3m) nikiielekeza kwenye kilimo cha tumbaku ya ugoro ekari10 naweza nikapata zaidi ya tsh 100,000,000/= je, unalijua hilo? Waulize wauza ugoro watakwambia habari yake.

Kwahiyo basi utakakubaliana na mimi vizuri kabisa kuwa kuna mazako yanafaida kubwa lakini wakulima ama hatujui au hatusimamii ipasavyo katika kuhakikisha kwamba tunapata kinachostahili.

Hima sasa, twendeni shambani!!
 
Last edited by a moderator:
Aise kwnye tikiti hapana nakukatalia nimeshawahi kulima haijanifurahisha na nimeona wanaolima wanapata kipato cha kawaida tu,hapo kwa tumbaku cjui sbb sijawahi kulima wala sijawahi kukaa nawaolima.

UZURI WA KILIMO UWE NAPEMBEJEO NA MASHAMBA YAWE YAKWAKO,mfano shamba nilakwako na una tractor lakwako au powetiler au hata ngombe basi GARAMA ITAKUWA NDOGO SANA ekari moja kwa ufuta utanunua mbegu 10,000 kulima km ni tractor utatumia lita 4 hd 7{tegemeana na structure ya shamba} 15,000*2 utalima jembe2 kupanda utaweka watu eka 20,000 palilizi haitakuwepo sababu umelima jembe2 JUMLA NI 50,000 GARAMA KWA EKA MOJA,ukilima eka 100 nasawa na 5milion napato lake na sawa nagunia 400 au zaidi,UKIUZA KWA 300,000*400=120MILION.nb sijaweka garama za dawa tegemeana namwaka km unamvua nyngi. km ulivyosema KISIMA unatakiwa ulime eneo kubwa upate pato kubwa.

PEMBEJEO NI SILAHA KUBWA KTK KILIMO YENYE TIJA
 
Back
Top Bottom