Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

Wadau hatimaye nimevuna rasmi heka 30 zangu..lindi,matokeo uamekua tofauti kabisa pamoja na jitihada zote 1.5tons badala ya 11tons..bei zinazidi kushuka,matokeo mabovu yamechangiwa na jua kali. Aluta continua.
 
Wadau hatimaye nimevuna rasmi heka 30 zangu..lindi,matokeo uamekua tofauti kabisa pamoja na jitihada zote 1.5tons badala ya 11tons..bei zinazidi kushuka,matokeo mabovu yamechangiwa na jua kali.Aluta continua.

Usikate tamaa mkuu. Matokeo mwaka huu yamewaliza wengi sana.
Nadhani mvua zilichangia kuzorotesha uzalishaji. Wewe ni mtu kama wa kumi unaelalamika.
 
Nadhani inabidi tuwekeze kwenye kilimo cha umwagiliaji, tuachane na haya ya kusubiri jua na mvua.
 
Kwa wastani unaweza pata kilo 400-600 kwa heka, inategemea na matunzo, ukishindwa kuhudumia vizuri hata kufikisha kilo 300 ni mtihani.
Heka au eka? kumbuka heka 1 ni sawa na ekari 2.5
 
Habari umu samahanini mm mgeni umu ila nimependa hii naombeni namba ya mtu anayejishughulisha na hiki kilimo.
 
Back
Top Bottom