Wanajamvi naombeni ushauri..,mimi ni mgeni kwenye masuala ya kilimo.Nina shamba langu la ekari 5 lipo maeneo ya BUNGU- Rufiji.Naomba kuuliza ni aina gani ya mazao ya biashara yanakubali ukanda ule? Nipo kwenye hatua za kuanza kujishughulisha na kilimo.