Wanajamvi naombeni ushauri..,mimi ni mgeni kwenye masuala ya kilimo.Nina shamba langu la ekari 5 lipo maeneo ya BUNGU- Rufiji.Naomba kuuliza ni aina gani ya mazao ya biashara yanakubali ukanda ule? Nipo kwenye hatua za kuanza kujishughulisha na kilimo.
. Je shamba lako lina chanzo cha maji? kama ndio unaweza ukalima mazao mengi. mazao yanayoongoza kufanya vizuri ni mboga mboga na matunda ambayo yanachukua muda mfupi.
chunguza wakulima pembeni wanalima nini. na anza kulima wakati wa msimu huku ukiwa unatafuta zao lenye faida na ambalo soko liko vizuri
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.