Kilimo gani kina asilimia kubwa ya kufanikiwa?

Kilimo gani kina asilimia kubwa ya kufanikiwa?

Idea yako ya kufuga samaki ilikua wazo zuri sana..kilo ya sato ya mwanza sasa inaenda mpk elfu 7000 kwa mikoa ya pembezoni mwa bahari na 10000 mikoa ambayo haina upatikanaji kabisa, lakini pia kwa bei ya jumla kwenye viwanda vya samaki wanachukua mpaka tsh 6000 ukiweza kufikisha samaki wa gram kuanzia 400 which is possible.

Issue ni land na chanzo cha uhakika cha maji, niliwahi kuongea na production manager wa kiwanda cha Tanpesca kilichopo Tanga na akanijuza kiwanda chao kinaweza kununua any ammount you can produce, since wako under production na samaki baharini wamekuwa adimu due to illegal fishing activities.
 
Halina changamoto ukilima unarudi zako mjini kuendelea na shughuli zako nyingine kule unatafuta kijana wa jirani awe anachungulia chungulia.
Lima tangawizi
Lima pilipili mwendokasi
Lima viazi mviringo

Hakuna kilimo cha hivyo. Parachichi ni zao linalodeka sana. Kama hutafanya usafi wa kutosha na usimamizi makini hiyo ndoto ya mazao sahau
 
Tangawizi ipo sana Kigoma Wilaya ya Buhigwe sehemu inaitwa Munzenze. Hazina soko tangu zikatanzwe kwenda nje na wateja walikuwa ni Waganda so wabongo wamebakia kuwalalia wakulima tu kwa kg 1 = 300 - 700 ila Waganda walikuwa wananunua kg 1000 - 1600. Tangawizi zinakomaa ndani ya miezi 6-8 ukizihudumia vizuri. Japo kilimo cha jembe la mkono na kutegemea mvua hakijawahi kumtoa mkulima tangu dunia imeumbwa
Mimi nauliza!

Ivi kwanini serikali ya Tanzania huwa inawapiga vita sana wakulima wanapotaka kujikwamua?

Maana kila wanapoelekea kupata unafuu serikali lazima iingilie kati na kuwafanyia figisu

Same to mahindi,korosho, pamba, kahawa (hii wamehakikisha mpaka soko wameliua kabsa) kunde n.k
 
Wewe fuga nguruwe kijana acha kabisa mimi nauza nguruwe kilo elfu 8000 na huwa nguruwe mwenye kilo 50 ni laki mbili na nusu please kokote uliko fuga nguruwe soko lake nje nje. Nguruwe mwenye kilo 50 ni ndani ya miezi minne umeingiza amefikisha hizo kilo imagine una nguruwe 20 x 250000 hapo nagharama ya kuwafuga hao nguruwe hautazidi laki tano within six months.
 
manengelo, Mkuu nimependa honesty uliyoeleza kuhusu changamoto ya masoko, na mimi ni mmoja wa wahanga. Swali langu, unawezaje kutengeneza laki 3 kwa siku? Nishirikishe specifically unachofanya na mtaji ulionao, waweza nisaidia kujikwamua kimaisha. PM kama hutojali. Shukrani
 
Mkuu,nimependa honesty uliyoeleza kuhusu changamoto ya masoko, na mimi ni mmoja wa wahanga. Swali langu, unawezaje kutengeneza laki 3 kwa siku? Nishirikishe specifically unachofanya na mtaji ulionao, waweza nisaidia kujikwamua kimaisha. PM kama hutojali. Shukrani
Mkuu mie huwa najifariji tu!
 
Mpunga mwaka huu nimelima heka 40 nimepata gunia 14 hapa ninavyoandika niko na stress balaa imelala tu pesa yote ilimwagika huko IFAKARA
Kaka naomba nipe experience ni bora nichuke mpunga nilete Dar kama dalali au niingie shambani bajeti yangu Milioni 5? Kwa mtazamo wako
 
Mkuu naomba nikushauli kwamba kilimo kina faida nyingi sana lkn niwachache sana wanakuwa wanufaika na izo faida kwasabubu ya kuzingatia vitu vifuatavyo

1) Mpangilio (Calendar) ya shughuli za shamba ; mkulima kabla ya kuingia shambani inabida ajuwe analima nn na kwa muda gani na atatumia jitiada gani kufanikisha iyo mipango yake kwa mfano inabidi ajuwe taharifa sahihi kuhusiana na zao lake analotaka kulima maana itamsaidia kupanga ratiba sahihi ya kuhudumia shamba lake kama vile maandalizi ya shamba, kupanda, kuweka mbolea, kupalilia na kuvuna pia ! Nakumbuka mwaka jana nililima Tikiti kila kitu kilienda sawa lkn nilikosea muda wa kuvuna yani nilichelewa kwaiyo kila ukipata mteja anakupangia bei ya chini kwasababu anajua auna namna ya kujitetea pia ilinighalimu kukubaliana na bei yake kwa sababu mzigo ungenidodea kwaiyo inabid mkulima uwe makini kwenye calendar apo utaweza kuepuka hasara za kujitakia

2) Masoko ! Apa niwe mkweli tuu akuna watu wenye roho ngumu na ambaya ambazo azielezeki kama madalali [emoji22][emoji22][emoji22] maana mazao mengi kama vile matikiti, vitunguu na achungwa na nk uwezi kupeleka sokoni eti ukauze aisee yan nibola umuite dalali mmalizane mapema kuliko upeleke sokoni maana wafanya biashara awana mamlaka ya kununua mazao kwa wakulima moja kwa moja bila dalali kwaiyo dalali anapanga bei anayo itaka yeye lkn ili uweze kushindana na dalali jitaidi kulima mazao yenye ubora zaid au nenda kinyume na wakulima wenzio yani unaenda kinyume na msimu kwaiyo unajikuta pekeyako ndo unamzigo apo kidogo unaweza kutaja bei unayo itaka ww lkn ili uende kinyume na msimu inabidi ulime ndani ya protective environment condition yan Green house apo ndo utaweza kufanikiwa

3) Nidhamu ! Kilimo ni kazi kama kazi nyingine kwaiyo inabid mkulima awe na nidhamu ya kutosha kama vile kufuata ratiba aliyo jiwekea na kufuatilia shamba lake endapo ameweka kibarua kwa mfano kilimo cha matikiti kinaitaji nidhumu ya juu Sana yan ikipita siku tatu ujaenda shambani apo ujuwe kuna gharama utaingia ili kufix ule muda ambao ukwenda shambani yani Time is money

Vipo vingi vya kuzingatia lkn ivyo ni moja wapo
 
Shukrani mkuu
 
Nimelima vilimo tofaut tofaut Sana ila Tangawizi inakera Sana kuanzia shambani mpka sokoni Bora alizet,viaz mbatata,mahindi,
 
Weka mipapai mku . Hata nusu heka utaingiza tandamu kila. Wiki papai moja 1500 utapiga hela saana mtaji kiduchu
 
Weka mipapai mku . Hata nusu heka utaingiza tandamu kila. Wiki papai moja 1500 utapiga hela saana mtaji kiduchu
 
Najaribu kwaza hapa ukiwa na shamba nje mji halafu ukawa na retail outlet ya mazao huku mjini utaweza kumaximize profit?
 
Back
Top Bottom