Kilimo gani kinakubali sana Mlandizi?

ZionTZ

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2009
Posts
1,283
Reaction score
541
nataka kujikwamua na huu umasikini, sitaki kuendelea kuilalamikia serikali kwani naamini mabadiliko huletwa na mimi mwenyewe.

:>> Nina eneo huko mlandizi sehemu inaitwa ngeta, nataka nianze kilimo....sasa kabla ya kuanza nivyema nije kwa wataalamu kwanza mnipe in and out kuhusu hayo maeneo kwani naamini jf ni kisima cha maarifa na mejembe yote yapo humu.

pia ninataka kujua ni aina gani ya miti inakubali mlandizi. nitashukuru sana kwa msaada wenu wataalam

wenu katika ujenzi wa taifa.

ZionTZ
 
Aisee ninakiwanja changu huko ngeta, kina offer kabisa, vipi viwanja vimeshaanza kununulika huko???
 
mkuu panda mikaratusi ya muda mfupi,aina ya eucalyptus tereticornis
 
Mihogo na mahindi pia vinastawi.
 
mkuu panda mikaratusi ya muda mfupi,aina ya eucalyptus tereticornis

Asante sana kaka kwa ushauri lakini nna maswali kadhaa,
1.miti ya mikaratusi inafaida gani i.e inatumika kwa ajili ya kitu gani. Vipi soko lake...?

2. Umesema inakomaa mda mfupi, je ni miaka mingapi??

3. Je inakubali huko mlandizi? Mbegu zake zinapatikanaje?

Asante sana mtaalam wangu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…