ZionTZ
JF-Expert Member
- Oct 6, 2009
- 1,283
- 541
nataka kujikwamua na huu umasikini, sitaki kuendelea kuilalamikia serikali kwani naamini mabadiliko huletwa na mimi mwenyewe.
:>> Nina eneo huko mlandizi sehemu inaitwa ngeta, nataka nianze kilimo....sasa kabla ya kuanza nivyema nije kwa wataalamu kwanza mnipe in and out kuhusu hayo maeneo kwani naamini jf ni kisima cha maarifa na mejembe yote yapo humu.
pia ninataka kujua ni aina gani ya miti inakubali mlandizi. nitashukuru sana kwa msaada wenu wataalam
wenu katika ujenzi wa taifa.