Kilimo hai,bora na cha kisasa kwa kutumia mkojo wa sungura.

Kilimo hai,bora na cha kisasa kwa kutumia mkojo wa sungura.

Chifu mkuu

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2025
Posts
857
Reaction score
926
HABARI NJEMA KWA WAKULIMA

Hakuna tena kuumiza kichwa kuhusu kutibu magonjwa nyemelezi kwenye mazao yako kama vile manjano, fangasi, na kudhoofika kwa mazao.
Tumia mkojo wa sungura pia kuongeza mazao na uzito kwenye mazao kama mpunga, mahindi, maharage, ulezi na mtama.
Mkojo wa sungura pia hutumika kwa ajili ya kurutubisha ardhi yenye magadi au iliyoharibiwa na mbolea zenye kemikali za viwandani.

Karibuni kilimo hai, jali afya na epuka matumizi ya mbolea zenye kemikali.


BEI.

Bei ya mkojo halisi wa sungura kuanzia lita moja mpaka lita tano ni sh 10,000/= kwa kila lita .

Kuanzia lita sita mpaka lita kumi ni sh 8000/= kwa kila lita.

Na kuanzia lita kumi na moja mpaka lita ishirini na kuendelea ni sh 7000/= kwa kila lita .

Tunapatikana Moshi mjini kata ya Kaloleni mkoani Kilimanjaro.
Kwa mahitaji na mawasiliano.
Piga simu zofuatazo.

+255 741 529 894
+255 784 024 733

Karibuni sana.

KILIMO NI BIASHARA.
MKULIMA NI MUWEKEZAJI.
 

Attachments

  • IMG_20251116_111530_905.jpg
    IMG_20251116_111530_905.jpg
    601.3 KB · Views: 34
  • IMG_20251116_111708_061.jpg
    IMG_20251116_111708_061.jpg
    682.4 KB · Views: 35
  • IMG_20251116_111601_152.jpg
    IMG_20251116_111601_152.jpg
    630.2 KB · Views: 32
Huo mkojo unapulizia kama dawa au unamwagilia kwenye shina?
ILA BONGO🤣
20251130_153353.jpg
 
Ujinga Africa hautakuja kuisha
Wazungu wanawaza mapinduzi katika kilimo Kwa kutumia irrigation system, mbegu Bora
Huku tunawaza ushirikina wa kumimina mikojo ya sungura
 
Back
Top Bottom