Kilimo kimenivutia. Ally Hapi anafanyia kilimo wapi?

Mdigokhan

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2022
Posts
942
Reaction score
2,198
Khabari zenu wakubwa.

Kuna huyu jamaa wa kuitwa ALLY HAPI aliewahi kuwa mkuu wa wilaya Kinondoni, Aliwahi kuwa mkuu wa mkaa wa Iringa kama sikosei,ila kwasasa sio tena mwanasiasa ni baada ya mama samia kumuondoa kwenye hayo mdaraka.

Hizi siku mbili tatu kaibuka analima balaa ana mashamba makubwa, Kilimo chake cha kisasa nimevutiwa nacho sana,japo ni kwa picha ila picha inajieleza jamaa anavyojituma.

Natamani kujua kwa anayejua je huyu jamaa anafanyia wapi kilimo chake kwa hapa Tanzania.

 

Kwa sababu ya hizo picha? He he he, unaitaji maombi, kuna picha nyingine pia za ku balance maamuzi yako.
 
Jichanganye ulime ndio utaamini kilimo sio uti wa mgongo wa taifa.

Ukishaona picha zinakuwa nyingi, jua kuna kitu hakiko sawa

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app

Hapo tunapotezwa maboya ,tunapigwa ndoige na mapicha picha ili usije kuhoji inakuwaje kashaondoka kwenye ukuu wa mkoa lakini bado ana pesa? Sasa ilo swali linazimwa na kwamba jamaa siku hizi amewekeza kwenye kilimo na anapata pesa sana.

Huyu dogo hata asipolima pesa alizozipiga enzi za mwenda zake ni nyingi sana,amewekeza sana kwenye real estate!
 
Real estates zake ziko wapu mkuu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…