Mdigokhan
JF-Expert Member
- May 2, 2022
- 942
- 2,198
Khabari zenu wakubwa.
Kuna huyu jamaa wa kuitwa ALLY HAPI aliewahi kuwa mkuu wa wilaya Kinondoni, Aliwahi kuwa mkuu wa mkaa wa Iringa kama sikosei,ila kwasasa sio tena mwanasiasa ni baada ya mama samia kumuondoa kwenye hayo mdaraka.
Hizi siku mbili tatu kaibuka analima balaa ana mashamba makubwa, Kilimo chake cha kisasa nimevutiwa nacho sana,japo ni kwa picha ila picha inajieleza jamaa anavyojituma.
Natamani kujua kwa anayejua je huyu jamaa anafanyia wapi kilimo chake kwa hapa Tanzania.