Kilimo kimenivutia. Ally Hapi anafanyia kilimo wapi?

Jamaa mtaji alijichotea , kwa status yake vikwazo kibao vya kimamlaka anavivuka , sjui vibali vya hapa na pale mara tozo , na masoko ya nje anayafikia fresh tuu , lazima apige pesa....asa we mkrungwa jichanganye bila kujipanga ndo utajua hujui
 
Ukishakuwa na soko la uhakika kilimo kinalipa
Na soko la uhakika ni kuwa na sehemu ambayo unajua ukishavuna tu unaupeleka na kuchukua pesa zako sio unafika sokoni unaanza kusubiri wateja wa magengeni wa kununua kisado kimoja kimoja
 
Jamaa mtaji alijichotea , kwa status yake vikwazo kibao vya kimamlaka anavivuka , sjui vibali vya hapa na pale mara tozo , na masoko ya nje anayafikia fresh tuu , lazima apige pesa....asa we mkrungwa jichanganye bila kujipanga ndo utajua hujui
Acheni kutisha watu vijana wanapata pesa kwenye kilimo kuna dogo pale lukuledi kapiga milion 9 za nyanya na ana vitunguu kama gunia 70 kazihifadhi hivi mtu kama huyu akisoma Comment yako humu si atakuonna wewe ni mwehu?
 
Gunia 70 unazipata kwa mtaji wa sh ngapi ? Niambie alaf nikujibu
 
Katolewa 28 July 2022
Tarehe 27 October 2022 zimewekwa taarifa humu ana mavuno mazuri.

Back
Top Bottom