Kilimo kinalipa? au niwaze mambo mengine!

Kilimo kinalipa? au niwaze mambo mengine!

kama mzazi wako aliacha mashamba mengi uza hata mawili thena uanze kukusanya mazao na upeleke dar au dodoma inalipa zaidi,,, kilimo ni kigumu na inatakiwi ushiriki kwa asilimia kubwa sizani kama uko tayari.
 
Kama ni ngara lima maharage,utaalam uliza majirani zako ndo watakuwa na ufaham wa maeneo hayo
 
Sio utani dada,

Kila mwaka sisi tunaootesha miti huwa tunakutana mara moja,kisha tunapeana taarifa za maendeleo, sasa huwa tunaita chai day kwa sababu siku hiyo huwa tunakunywa chai tu ili tuweze kusikilizana vizuri. Kuna watu wakinywa maji ya Ilala, huwa wanahama tune. Kwa hiyo kwa masaa manne ni chai,kahawa,maji,soda basi. Karibu.

Noted mkuu!
 
Back
Top Bottom