tinna cute
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 4,630
- 2,308
Sio utani dada,
Kila mwaka sisi tunaootesha miti huwa tunakutana mara moja,kisha tunapeana taarifa za maendeleo, sasa huwa tunaita chai day kwa sababu siku hiyo huwa tunakunywa chai tu ili tuweze kusikilizana vizuri. Kuna watu wakinywa maji ya Ilala, huwa wanahama tune. Kwa hiyo kwa masaa manne ni chai,kahawa,maji,soda basi. Karibu.
Noted mkuu!
Tarehe 26april jumamosi saa nane na nusu. Ukumbi utatangazwa baadae.
Daaa sitakuwa mjini nina bahati mbaya sana na hii chai day kila mwaka