Bei ya kahawa imepanda dunia nzima kwasbb Brazil haizalishi tena hapa Tanzania tunaibia Uganda kilo ya kahawa ilio safishwa ni sh 40 000 sawa sawa na 25k ya Tanzania,........bei ya vyakula vingine bado iko chini ukilinganisha na soko Kenya na Uganda mkulima wa Tanzania wa kufa masikini mileleKupanga ni kuchagua
Kuna vijana tuliamua kulima Kwa bidii na Sasa tunavuna na Mungu amejalia mazao yamekubali na bei Iko poa mno
Nawapongeza serikali hasa sisi watu wa mkoa wa Kagera tumepata bei nzuri ya kahawa Kuna uwezekano ikafika kg 1 sh 10000 Sasa hapa fikiria mkulima atakayepata hata Tani 3 na zaidi
Mahindi Yana bei kubwa ni pesa ndefu
Maharage Yana bei kg ni 2700
Mchele una bei kg 1 mo 2000
Karanga Zina bei kg 1 ni 3000
Kahawa Zina bei kg 1 ni 7000
Mifugo kijijini inalipa
Ng'ombe kuanzia 800k
Mbuzi kuanzia 100k
Kuku na bata kuanzia 15k
Vijana wale walioamua kubaki mjini kufuga ndevu na kucha rudini vijijini mshike jembe,
Kilimo kitakupa kila unachohitaji.
Pesa Iko shambani
Lima utavuna na utapata pesa.
Karibu tuwekeze katika kilimo,
Kilimo hakimtupi mtu
Hivo hivo tunahujumiwa lakini kidogo hicho Kwa Sasa ni kikubwa kwetu wakulimaBei ya kahawa imepanda dunia nzima kwasbb Brazil haizalishi tena hapa Tanzania tunaibia Uganda kilo ya kahawa ilio safishwa ni sh 40 000 sawa sawa na 25k ya Tanzania,........bei ya vyakula vingine bado iko chini ukilinganisha na soko Kenya na Uganda mkulima wa Tanzania wa kufa masikini milele
Unalimia wapi tukutembelee?Kupanga ni kuchagua
Kuna vijana tuliamua kulima Kwa bidii na Sasa tunavuna na Mungu amejalia mazao yamekubali na bei Iko poa mno
Nawapongeza serikali hasa sisi watu wa mkoa wa Kagera tumepata bei nzuri ya kahawa Kuna uwezekano ikafika kg 1 sh 10000 Sasa hapa fikiria mkulima atakayepata hata Tani 3 na zaidi
Mahindi Yana bei kubwa ni pesa ndefu
Maharage Yana bei kg ni 2700
Mchele una bei kg 1 mo 2000
Karanga Zina bei kg 1 ni 3000
Kahawa Zina bei kg 1 ni 7000
Mifugo kijijini inalipa
Ng'ombe kuanzia 800k
Mbuzi kuanzia 100k
Kuku na bata kuanzia 15k
Vijana wale walioamua kubaki mjini kufuga ndevu na kucha rudini vijijini mshike jembe,
Kilimo kitakupa kila unachohitaji.
Pesa Iko shambani
Lima utavuna na utapata pesa.
Karibu tuwekeze katika kilimo,
Kilimo hakimtupi mtu
Naaam Mali inapatikana shambanii mkuu ..... safi sanaKilimo ni uti wa mgongo wa uchumi wa nchi nyingi duniani, na bila kilimo hakuna cakula.
Cc Monetary doctor Dr am 4 real PhD
Well said..Kilimo ni uti wa mgongo wa uchumi wa nchi nyingi duniani, na bila kilimo hakuna cakula.
Cc Monetary doctor Dr am 4 real PhD
Wasalimie Kaisho, Nkwenda ,na Murongo....hivi kile Kijiji kinachofuata kutoka Nkwenda ukielekea Kaisho panaitwaje ..nilikula ndizi taku pale tukiwa kwenye mkekw wa mgomba! ....Kyerrwa na Karagwe ni π₯π₯! Ntumie chia seed Mkuu!Kupanga ni kuchagua
Kuna vijana tuliamua kulima Kwa bidii na Sasa tunavuna na Mungu amejalia mazao yamekubali na bei Iko poa mno
Nawapongeza serikali hasa sisi watu wa mkoa wa Kagera tumepata bei nzuri ya kahawa Kuna uwezekano ikafika kg 1 sh 10000 Sasa hapa fikiria mkulima atakayepata hata Tani 3 na zaidi
Mahindi Yana bei kubwa ni pesa ndefu
Maharage Yana bei kg ni 2700
Mchele una bei kg 1 mo 2000
Karanga Zina bei kg 1 ni 3000
Kahawa Zina bei kg 1 ni 7000
Mifugo kijijini inalipa
Ng'ombe kuanzia 800k
Mbuzi kuanzia 100k
Kuku na bata kuanzia 15k
Vijana wale walioamua kubaki mjini kufuga ndevu na kucha rudini vijijini mshike jembe,
Kilimo kitakupa kila unachohitaji.
Pesa Iko shambani
Lima utavuna na utapata pesa.
Karibu tuwekeze katika kilimo,
Kilimo hakimtupi mtu
Karibu sanaWasalimie Kaisho, Nkwenda ,na Murongo....hivi kile Kijiji kinachofuata kutoka Nkwenda ukielekea Kaisho panaitwaje ..nilikula ndizi taku pale tukiwa kwenye mkekw wa mgomba! ....Kyerrwa na Karagwe ni π₯π₯! Ntumie chia seed Mkuu!
Kupanga ni kuchagua
Kuna vijana tuliamua kulima Kwa bidii na Sasa tunavuna na Mungu amejalia mazao yamekubali na bei Iko poa mno
Nawapongeza serikali hasa sisi watu wa mkoa wa Kagera tumepata bei nzuri ya kahawa Kuna uwezekano ikafika kg 1 sh 10000 Sasa hapa fikiria mkulima atakayepata hata Tani 3 na zaidi
Mahindi Yana bei kubwa ni pesa ndefu
Maharage Yana bei kg ni 2700
Mchele una bei kg 1 mo 2000
Karanga Zina bei kg 1 ni 3000
Kahawa Zina bei kg 1 ni 7000
Mifugo kijijini inalipa
Ng'ombe kuanzia 800k
Mbuzi kuanzia 100k
Kuku na bata kuanzia 15k
Vijana wale walioamua kubaki mjini kufuga ndevu na kucha rudini vijijini mshike jembe,
Kilimo kitakupa kila unachohitaji.
Pesa Iko shambani
Lima utavuna na utapata pesa.
Karibu tuwekeze katika kilimo,
Kilimo hakimtupi mtu
Hapo ndipo FALSAFA ya JEMBE halimtupi mkulima ilipo hasisiwa π€Kilimo ni uti wa mgongo wa uchumi wa nchi nyingi duniani, na bila kilimo hakuna cakula.
Cc Monetary doctor Dr am 4 real PhD
Kwa hakika mkuu.Hapo ndipo FALSAFA ya JEMBE halimtupi mkulima ilipo hasisiwa π€
Mzee tupige kilimo kilimo kinalipaa