Aggrey sallah
Member
- Sep 15, 2022
- 31
- 45
Salaam, Bila shaka ninyi wote ni wazima wa Afya. Nimekuwa mdau lakn pia mkulima kwa muda mrefu Sana, nimekuwa nikiona ups and downs katika Kilimo na hii imenipa Kujifunza mengi ikiwemo makosa yanayofanyika mara kibao katika Kilimo.
Najua fika wapo vijana au wadau wengi Sana ambao Wana Mahaba na kilimo ila tuu , nafanyaje? Naanzia wap? Natoa wapi eneo? N.k yamekuwa maswali magumu Sana kwako, bila choyo na kama uko seriously nitafute WhatsApp (+255756501929) tuone best way ya kushikana katika Kilimo na kuExcell Pamoja.
Notebene: kama kuna wadau tunaweza kushirikiana kulima hata Hectares 10+ zipo, karibuni.
Location ni Pwani.