Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mjasilia mali a anapata fursa ya kukopesheka. Sema walimu wengi hawana hulka ya ujasilia mali. Mtaani mtu akukope milioni 2 we! utakoma ,benki ndio haziwaamini vijana.Bora ukae TU ulime maana hata ukiingia kwenye ualimu hakuna chochote cha maana utakachokipata.
Ila njoo TU jamaa yangu.Kila kazi na kila sehemu na changamoto yake Seama zinatofautiana tu.
Ni ukweli siusemei vibaya maana hata Mimi umenipa mtaji, nipo kigoma huku ninamiliki mashamba ambayo isingekua ajira nisingeyapata, Kuna fursa naiona ambayo isingekua ajira nisingeiyona, kwahiyo Kila kitu kina faida na hasara zake.Kwa mjasilia mali a anapata fursa ya kukopesheka. Sema walimu wengi hawana hulka ya ujasilia mali. Mtaani mtu akukope milioni 2 we! utakoma ,benki ndio haziwaamini vijana.
Ila ni aibu kulilia ajira wakati hukusoma kwa mkataba wa kuajiriwa, ulichagua kusoma mwenyewe wala serikali haikukulazimisha.
Wanasiasa wetu nao ni kama waoga, wanatingishwa imagine ndiio angekuwa TRUMP au PUTIN anakabiliwa na unemployed graduate.
Hii kidogo haiko sawa, au ni kejeli ya kijinga. Mara nyingi kauli hizi zinatolewa na watu waliopata advantages flani either za kifamilia,serikali taasisi n.k halafu wakajisahau.Ila ni aibu kulilia ajira wakati hukusoma kwa mkataba wa kuajiriwa, ulichagua kusoma mwenyewe wala serikali haikukulazimisha.
Ardhi yenyewe wamejimilikisha wakubwa, unaipataje? Wanakukodiishha kwa gharama kubwa, fedhaa ya kukodi unaipata wapi?Kilimo kinalipa wanangu wa NETO njooni tujaribu nahuku sasa kama kule kumegoma inakuaje mfano mpaka sasa hatuelewi kama oral tulifaulu au tumefeli.
Majibu tuliyo nayo niya written tu
Putin au Trump ni mbali sana... Sema ingekuwa zile zama za Jiwe😆😆😆Kwa mjasilia mali a anapata fursa ya kukopesheka. Sema walimu wengi hawana hulka ya ujasilia mali. Mtaani mtu akukope milioni 2 we! utakoma ,benki ndio haziwaamini vijana.
Ila ni aibu kulilia ajira wakati hukusoma kwa mkataba wa kuajiriwa, ulichagua kusoma mwenyewe wala serikali haikukulazimisha.
Wanasiasa wetu nao ni kama waoga, wanatingishwa imagine ndiio angekuwa TRUMP au PUTIN anakabiliwa na unemployed graduate.
Kilimo ukiweka dedication na practice kinalipaKilimo kinalipa wanangu wa NETO njooni tujaribu nahuku sasa kama kule kumegoma inakuaje mfano mpaka sasa hatuelewi kama oral tulifaulu au tumefeli.
Majibu tuliyo nayo niya written tu
Kwa hiyo na wewe unaona Wana HAKI YA KULILIA AJIRA YA UALIMU?Hii kidogo haiko sawa, au ni kejeli ya kijinga. Mara nyingi kauli hizi zinatolewa na watu waliopata advantages flani either za kifamilia,serikali taasisi n.k halafu wakajisahau.
Mimi sio mwalimu, lakini nawaelewa wanaolalamika na kulalamikia ajira, hasa kwa kuzingatia nature ya nchi hii ambayo bado ni masikini.
Bado mazingira ya mtu kujiajiri sio rafiki na nafasi za kuajiriwa ni chache. Halafu unarudi kuthibitisha ni shibe tu zinakusumbua pale unapokiri kuwa hawakopesheki na mtaani mtu kumpa mtu mkopo kama 2m ni mtihani.
Jiulize wewe tu katika ukoo na ndugu zako hakuna mtu hana ajira na amewahi kukucheki na ukashindwa kumpa hata laki 3 tu tena anaomba umkopeshe atarudisha?
Watu wenye roho mbaya uzeeni huwa mnapata hayo mavisukari, ma cancer na magonjwa ya bill kubwa. KUFURU NA LAANA TUPU
Hii kidogo haiko sawa, au ni kejeli ya kijinga. Mara nyingi kauli hizi zinatolewa na watu waliopata advantages flani either za kifamilia,serikali taasisi n.k halafu wakajisahau.