SoC02 Kilimo kinalipa

SoC02 Kilimo kinalipa

Stories of Change - 2022 Competition

Merr

Member
Joined
Aug 27, 2022
Posts
5
Reaction score
3
KILIMO ni shughuli ambazo hufanywa na wakulima au mtu yoyote anaehitaji kuwa mkulima. Mfano kilimo cha mahindi, mpunga, n.k

KILIMO nishughuli ambayo hapo zamani ilikua inatumika Sana hasa vijijini na ndo shughuli maharufu tangu hapo zamani.

KILIMO huleta faida kubwa kwa wakulima mara baada ya kuvuna mazao na kuyauza, kutokana na KILIMO wazazi au walezi huweza kuwasomesha watoto, kulisha familia n.k

KILIMO kwa karne ya sasa kimeongezeka tofauti na hapo awali,pia Kuna vifaa vya kisasa kama kulima kwa trekta na mbolea serikali imekua ikitoa kila mwaka..

KILIMO kitakufanya ufikie ndoto zako, Bila KILIMO hatuwezi kupata chakula mfano Mahindi kwa ajili ya Unga wa ugali, mpunga kwa ajili ya mchele, mtama, n.k

Nasisitiza ewe dada, kaka, baba, mama usilie sababu ya maisha magumu ukijishughulisha na KILIMO kitakufanya ufikie ndoto zako zilizoishia njiani. KILIMO ni utajili, KILIMO ni uhai, KILIMO kinalipa...

EWE MWANANCHI TWENDE SHAMBA
 
Upvote 3
Back
Top Bottom