Hapo utagundua anayekula margin ya nguvu sio mkulima (aliyewauzia) bali ni hio suparmarket iliyovipaki vizuri na kuviweka kwenye display...
Supermarket za mtoni nyingi ni ma-giant wana-network ya kukusanya bidhaa kutoka sehemu tofauti na wakikupa tender fahamu percent utakayopata ili utoke inabidi ku-supply volumes za maana (pia na wenyewe wanamiliki mashamba yao na green houses zao)