Kilimo kinalipa

Kilimo kinalipa

Dingswayo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
4,019
Reaction score
2,925
Kilimo kinalipa. Hizi pilipili-mbuzi zinauzwa Ulaya kiasi cha Tshs. 38,000 kwa kilo.

Pilipili.jpg
 
Tatizo sio kuuzwa shilingi ngapi, european Union has stringent rules of importation. Kinachotuangusha ni kuweza kufikia viwango vya ubora vinavyotakiwa.
 
Hapo utagundua anayekula margin ya nguvu sio mkulima (aliyewauzia) bali ni hio suparmarket iliyovipaki vizuri na kuviweka kwenye display...

Supermarket za mtoni nyingi ni ma-giant wana-network ya kukusanya bidhaa kutoka sehemu tofauti na wakikupa tender fahamu percent utakayopata ili utoke inabidi ku-supply volumes za maana (pia na wenyewe wanamiliki mashamba yao na green houses zao)
 
Back
Top Bottom