Ni kilimo maalum kwa ajili ya watu wapumbavu na mazumbukuku
Tatizo watu wengi wana uwezo mdogo wa kutafakari na kuelewa mambo
Jaribu tu kufikiri kwa nini unataka kampuni ikulimie na wewe upate faida tu?
unakwepa nini wewe mwenyewe kulima?
Kama unaona ni kazi ngumu au ina hasara au ina changamoto ambazo ndio unazikwepa then kwa vipi unafikiri huyo atakayekulimia atafanikiwa?
Kama unaamini unayempa hela akulimie ana utaalam, mtaji na uzoefu hivyo lazima afanikiwe then kwa vipi unafikiri angehitaji kuhangaika kujitangaza kutafuta watu wa kuwalimia wakati ikiwa angeweza kulima yeye mwenyewe na akapata faida yote yeye bila kukuhusisha wewe?
Sent using
Jamii Forums mobile app