Kilimo kwa njia ya mtandao

Kilimo kwa njia ya mtandao

Hao watakuwa na shamba la kuzugia tu kuoneshea watu.​

Kinachofanyika unaweza kuta Kuna mafisadi, wahalifu, wauza madawa ya kulevya nyuma ya pazia wanaficha pesa zao kwa mgongo wa hiyo biashara baada ya muda wanaenda wanavuna pesa Ni sawa na kuvunja kibubu sema inakuwa zamu zamu mwezi huu anachukuwa huyu mwezi ujao anachukua fulani hivyo hivyo mzunguko unaendelea.​

Serikali inasikilizia kibubu kijae zikiwa nyingi kufikia mabillion tayari inapiga pin account na kushitakiwa kwa kosa la kutakatisha pesa Kama Mr Kuku alichofanyiwa.​

Kesi Kama hizi walalamikaji wa kutapeliwa wanakuwa wachache kwa kuwa wanajua mchezo waliokuwa wanaufanya na hawawezi kujitokeza maana ukijitokeza nawe unapigwa pingu.​
Asante boss,nimeelewa kitu hapa,ndo maana nilikuwa nashangaa kwa nini serikali iko kimya? Kumbe!!
 
Boss kwa kukusaidia achana na hiyo kitu,, ni biashara ya upatu, utarudi hapa ukilia. Mshauri na huyo mwenzako kuwa mafànikio hayajawahi kuja kwa style hiyo.

Huo ni utapeli kama wa Mr Kuku! Tafuta shamba lima mwenyewe kama unapenda sana kilimo.
Yaani umenibariki kabisa,navopenda kulima,ngoja nitafute shamba,niingie job,naona hawa ni matapeli.
 
Mkuu easy come easy go!! Usipumbazwe na hela chap chap kazi nzuri ifanyike either ukiwepo au unapita kukagua ila pesa ya kumpa mtu wewe una kaa unangoja mavuno mazuri hapo sio kweli. Waambie wakuonyeshe project wanapo fanyia na uchunguze uhalali wa hiyo project kama kweli ni yao, kz una weza pelekwa kwenye mashamba ya watu uka aminishwa kumbe na wao wanapita tu. Kuna uhitaji ya kutafuta kazi za ziada kuongeza kipato ila nyingine niza kumizana mkuu kuwa makini kwa hilo.
Nakushukuru mkuu,siatakubali kuingizwa mjini mchana huu.
 
Duniani kuna Upumbavu na Upumbafu. Ukiwa Mpumbavu kuna kaunafuu kidogo, ukiwa Mpumbafu ni tabu mno!

Mtu aingie shamba, afyeke, alime, apande, apalilie, alinde Wafugaji wasiingize mifugo yao shambani, ahamie ndege, wewe unakuna tu kende zako mjini. Watu wavune uje upewe mavuno! Mwambie atume pesa chap kwa haraka
 
Yaani ulivyomalizia nimecheka,kweli kuna upumbafu mwingi huku duniani
 
Wakuu salam, kuna mtu kanisimulia kuhusu kampuni inayofanya kilimo kwenye mtandao.kwamba unatuma hela wao wanalima na kushughulikia mazao,yakiwa tayari wanauza unapewa hela yako,je ni kweli? Au ni jamii ya akina DECI ?

Naomba mwenye ufahamu zaidi anijulishe.Jamaa aliyeniambia anaanza kushawishika kujiunga nao,mimi napata mashaka na hii kitu.

Karibuni wakuu.
Ni kilimo maalum kwa ajili ya watu wapumbavu na mazumbukuku

Tatizo watu wengi wana uwezo mdogo wa kutafakari na kuelewa mambo

Jaribu tu kufikiri kwa nini unataka kampuni ikulimie na wewe upate faida tu?

unakwepa nini wewe mwenyewe kulima?

Kama unaona ni kazi ngumu au ina hasara au ina changamoto ambazo ndio unazikwepa then kwa vipi unafikiri huyo atakayekulimia atafanikiwa?

Kama unaamini unayempa hela akulimie ana utaalam, mtaji na uzoefu hivyo lazima afanikiwe then kwa vipi unafikiri angehitaji kuhangaika kujitangaza kutafuta watu wa kuwalimia wakati ikiwa angeweza kulima yeye mwenyewe na akapata faida yote yeye bila kukuhusisha wewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana boss,nami nilishangaa,nikambishia jamaa akawa mbish kidogo,
 
Nlishawasikia ila sijawahi kusikia mashamba yao yapo mkoa gani!? Au hata kusikia interview mtandaoni!
Jamaa anadai mashamba yapo iringa eti,wanalima sana parachichi,hahaaaa
 
Nakushukuru mkuu,siatakubali kuingizwa mjini mchana huu.
Good mkuu usidanganyike na deal chap chap piga kazi afu fanya kitu unacho weza wewe binafsi kukagua na kuona nini kina fanyika nani vizuri anaye kupa mchongo awe anafanya tayari ila biashara za mezani hizi mtu ana kuambia weka 2m baada ya hapo tuna zungusha hivi au tunafanya hivi mwezi unao fwata unapata faida 1m zaidi kaa mbali sana mkuu.
 
Back
Top Bottom