Kilimo maeneo ya Mkuranga, Pwani kiko vipi?

naona kwa mujib wa sensa ya mwaka 2002 halmashaul hii inakata 18
 
nabak njia panda,sikutaka kupoteza naul kumbe itabidi2
Siyo kupoteza nauli ni vizuri kufanya hivyo,la sivyo utakuja kupata majuto zaidi ya hayo ya kupoteza nauli,nenda kajionee yalinikuta kwa kutaka kurahisisha mambo!
 
inaonekana kunamapoli makubwa,vip upatikanaji wa mkaa, wanachoma? na hayo mauaji mbona yanataka kufanana na ya mkoa wa MARA?
 
Wanakutisha tu Mkuranga kuzuri, kama ni changamoto ni kama zilivyo sehemu nyingine tu
 
Mkuranga kwa sasa ni kama inaungana na mji wa Dar es salaam. Kutoka pale Kongowe mpaka Mkuranga mjini ni kama dakika ishirini mpaka ishirini na tano kwa usafiri wa daladala. Kutoka Mbagala ni mwendo wa nusu saa au zaidi kwa usafiri wa daladala. Asilimia kubwa ya wafanyakazi wanaishi Dar es salaam na wengine Kisemvule,Vikindu na Kongowe. Nauli ni shilingi 1000/= toka Mkuranga hadi dar. Kwa upande wa kilimo, mazao mengi yanakubali vizuri na soko lipo Dar. Suala la usalama sio tatizo kubwa kwa wafanyakazi mkuu.
 
Habr naweza wasiliana na wewe kiundani kuhusu kilimo maeneo ya huko mkuranga? Nipo dar.
 
Habr naweza wasiliana na wewe kiundani kuhusu kilimo maeneo ya huko mkuranga? Nipo dar.
magonjwa kwa mazao ni mengi mno,sehemu kubwa ni mchanga,vibarua wavivu ila wanapenda pesa,ikifika march panda mpunga usilime zao tofauti miezi hiyo,chatu ni wengi,ushirikina upo,masika utatia wake za watu hata kwa buku mbili
 
Kichakoro umenitia moyo sana ngoja tuone
Yuko sahihi mkuu, mie juzi nimetoka moja ya vijiji vya wilaya hiyo kuna shamba nilinunua, usalama kwa sasa mbona upo mkubwa kbs iseee! Masika tatizo ni usafiri tu kwa baadhi ya maeneo.
BTW mengi ameyazungumza mchangiaji hapo juu, so mie sioni cha kuongezea kabisa.
 
inaonekana kunamapoli makubwa,vip upatikanaji wa mkaa, wanachoma? na hayo mauaji mbona yanataka kufanana na ya mkoa wa MARA?
Mkaa upo mwingi sana isee. Huwa naona pikipiki zinabeba 24hrs kutokea upande wa kijiji cha kibudi
 
magonjwa kwa mazao ni mengi mno,sehemu kubwa ni mchanga,vibarua wavivu ila wanapenda pesa,ikifika march panda mpunga usilime zao tofauti miezi hiyo,chatu ni wengi,ushirikina upo,masika utatia wake za watu hata kwa buku mbili
Masika utatia wake za watu hata kwa buku mbili!!
 
Nahitaji shamba huko, napata kwa bei gani!??
 
mimi nipo mkuranga ninalima papai na nimetoka huko bara mwanza mbona mambo yanasonga tu
 
Nimefurahi kitu kimoja pwani yaani eneo la kuchezea vigodoro ni kubwa kuliko alilojenga nyumba yake πŸƒπŸƒπŸƒ
 
kuna mzee anauza eneo lake nina polima heka 800000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…