Habari wana JF wenzangu,
Katika harakati za kupambana na maisha nawaza kulima kilimo cha mahindi ya kuchoma.
Naomba kujua undani wa kilimo hicho na kuhusu masoko ili nifanye research ya soko kabla sijaanza.
Natamani kufanya kilimo cha umwagiliaji.
Nipo Arusha.
Mungu awabariki