SoC04 Kilimo na maendeleo Kwa wakulima inawezekana

SoC04 Kilimo na maendeleo Kwa wakulima inawezekana

Tanzania Tuitakayo competition threads

hauleibrahim

Senior Member
Joined
May 17, 2024
Posts
183
Reaction score
125
Kama tusomavyo kilimo ni UTI wa mgongo pia tunaweza kusema kilimo ni mtaji chakula na fedha Kwa taifa ni kama kilimo kitafanyika Kwa Kwa usasa hasa kuzingatia mbinu sahihi za uzalishaji wa mbegu Bora kutoka maabara mpka na utunzaji mimea shambani matunda na nafaka pia vikahifadhiwa na kutunzwa Kwa usalama wa afya ya mlaji wa mwisho.

Vitu vitakavyo tufanya tuendelee kwenye kwenye kilimo Kwa miaka mingi ni vitatu mpaka vi 4
1. Maabara ziwepo kila mkoa ziwepo za mbegu naza upimaji udongo
2. Uhakika wa pembejeo kila mkoa bila kuwepo ubabaishaji
3. Tusitegemee mvua Bali tutegemee haswa vilimo vya umwagiliaji.
4. Tutoe elimu za mbegu na viwatilifu Kwa wakulima wa maeneo yote nchini.
5. Kuwepo na wabobezi wa kilimo cha sayansi na teknolojia Kwa vitendo kila mkoa wale walio Lima pia

Tukiweza kufanya haya Kwa usahihi hata wa asilimia 60 ndani ya miaka mitano au kumi kilimo chetu kitapiga hatua kubwa kama taifa ila kama tutalegeza katika mambo hayo hatutafika kokote kwenye kilimo chetu hiki Cha kutegemea mvua za MUNGU.

Naamini kila kitu kinawezekana muhimu ni mipango na utekelezaji Kwa wahusika wakuu wenye dhamana kwenye lengo kuu
 
Upvote 0
Tusitegemee mvua
Kweli mwanangu, kipimo cha akili ni kuyapangilia na kuyatawala mazingira kuboresha maisha. Tunaweza kufanya vema zaidi ya kutegemea mvua bhanaa.

Naamini kila kitu kinawezekana muhimu ni mipango na utekelezaji Kwa wahusika wakuu wenye dhamana kwenye lengo kuu
Na mleta mada umeongelea upande wa uzalishaji na uboreshaji tu. Je nini kitatokea tukishazalisha hizo bidhaa? maana uwezekano wa kuzalisha zaidi upo. Je upo upo uwezekano wa kupata walaji zaidi?
 
Kweli mwanangu, kipimo cha akili ni kuyapangilia na kuyatawala mazingira kuboresha maisha. Tunaweza kufanya vema zaidi ya kutegemea mvua bhanaa.

Na mleta mada umeongelea upande wa uzalishaji na uboreshaji tu. Je nini kitatokea tukishazalisha hizo bidhaa? maana uwezekano wa kuzalisha zaidi upo. Je upo upo uwezekano wa kupata walaji zaidi?
Soko lipo uzuri hatuko duniani peke yetu Kuna majirani nchi za watu kibao huwa wana uhitaji mkubwa
 
Back
Top Bottom