Kilimo na ufagaji ni mapacha

taikuny

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2016
Posts
1,207
Reaction score
715
Aya marofa wenzangu turudi mjini kupumnzika na kuukarisha mwaka

 
Picha sio ya mfugaji ni mtuza wanyama.
Hamna faida yeyote ya kufuga kuchi.
Ufugaji unalipa ila kilimo sijaona kikimlipa mtu
 
Picha sio ya mfugaji ni mtuza wanyama.
Hamna faida yeyote ya kufuga kuchi.
Ufugaji unalipa ila kilimo sijaona kikimlipa mtu
Naomba utusaidie kutufafanulia kwanini unasema ufugaji wa kuchi hauna faida?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…